Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
....nenda naye kwa mpalange...."Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Singeli inaweza kubadilishwa na kuwa muziki wa maana sana, ni msingi wake tu haukua mzuri ila haimaanishi kwamba upekee wa midundo yake haionekani.Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
....nenda naye kwa mpalange...."Mkuu ebu nionyeshe kitu gan kinaupeleka usodoma Kisha nitakuunga mkono
Usodoma ni mapanzi kinyume na maumbile, au kwa mpalange wanavyosema waimba SingeliMkuu ebu nionyeshe kitu gan kinaupeleka usodoma Kisha nitakuunga mkono
Taarab mwanana kabisaKwahiy mnataka tuwakilishwe na taarabu tuonekane taifa la michambo
Kwa mpalange..Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Nenda kwenye asili ya Singeli kama utakuta hayo maneno kwa mpalange. Kwanza mpalange si ni jina la mtu maarufu huko buza?Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Mziki wa Singeli sasa unakuwa ALAMA na UTAMBULISHO wa Tanzania - Kabudi..Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Porapesa wa Majalalani na muziki wapi na wapi tena muziki wa vijana, loh!!Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Sisi ni taifa la mama dunia nzima inatujua hivyo. Hayo mengine ni nyomgeza tu. Kwanza nataka nipeleke hoja bungeni kila mtoto awe jina lake linaisha na mia.Kwahiy mnataka tuwakilishwe na taarabu tuonekane taifa la michambo na mipasho
Kwanza yeye mwenyewe kwa majina yake haieleweki anaabudu wapiKabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Kwahiy Ali kiba tutamuita kibamiaSisi ni taifa la mama dunia nzima inatujua hivyo. Hayo mengine ni nyomgeza tu. Kwanza nataka nipeleke hoja bungeni kila mtoto awe jina lake linaisha na mia.
Apeleke kwanza watoto wake tuwaone wanacheza hiyo ngoma ndipo tuamini kwamba amevutiwa nayoMziki wa Singeli sasa unakuwa ALAMA na UTAMBULISHO wa Tanzania - Kabudi..