Umeua sana hahaKwahiy Ali kiba tutamuita kibamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeua sana hahaKwahiy Ali kiba tutamuita kibamia
CoincidenceKwahiy Ali kiba tutamuita kibamia
Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Chuki za kijinga ni tatizo letu watanzania.nadhani dhima nzima ni mdundo , singeli mtu anaimba chochote haihusiano na ku fi rana , kwanza watu wana f irana na hawasikilizagi singeli , ni maadili tu ya mtu haina uhusiano na maadhi ya midundo ya singeli
Tatizo Singeli imetekwa na wahuni.
Unasikia mmoja anamwambia mwenzie:
"... geuka shika ukuta.."
View: https://youtu.be/6Pg1bF8lDUg?si=FX1699wTR4tgWmFx
Hili taifa zima tuonekane ni wake wa muarabu kama zanzibarKwahiy mnataka tuwakilishwe na taarabu tuonekane taifa la michambo na mipasho
Mbona singeli inachezeka tu kwa heshima ila waovu ndio wanaicheza bila maadili. Kabudi hapo alichoashiria mdundo wa singeli ni mdundo kwa asili wa kitanzania. Mdundo unapendwa na hakika ni mzuri.Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania
Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Umesikiliza hiyo clip?Usifafanue sana unaharibu kiswahili nilugha flan usipo maliza sentensi inaleta ukakasi maneno yake