Inakuaje Kabudi anatangaza nyimbo zinazohamasisha usodoma kuwa alama ya taifa? Maadili yetu yanaelekea wapi?

Inakuaje Kabudi anatangaza nyimbo zinazohamasisha usodoma kuwa alama ya taifa? Maadili yetu yanaelekea wapi?

nadhani dhima nzima ni mdundo , singeli mtu anaimba chochote haihusiano na ku fi rana , kwanza watu wana f irana na hawasikilizagi singeli , ni maadili tu ya mtu haina uhusiano na maadhi ya midundo ya singeli
 
Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania

Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?

Marekani wanamuziki wa injili wapo wanaupiga reggae, zouk, charanga na Rhythm and Blues.

Muziki wa Singeli unaweza ukafikisha ujumbe mtakatifu sawa na zile nyimbo za Rose Mhando zinavyofanya.

Tujitahidi tukuze uelewa wetu, muziki ni njia ya mawasiliano. Inaweza kuwa nyimbo inayozungumzia ukatili mbaya lakini ikapigwa kwa midundo ya kiheshima sana na inaweza kuwa nyimbo yenye ujumbe mzuri na ikapigwa kwa kutumia melodies zisizovutia masikioni.
 
nadhani dhima nzima ni mdundo , singeli mtu anaimba chochote haihusiano na ku fi rana , kwanza watu wana f irana na hawasikilizagi singeli , ni maadili tu ya mtu haina uhusiano na maadhi ya midundo ya singeli
Chuki za kijinga ni tatizo letu watanzania.
 
  1. Rhumba huko kwa akina Koffi Olomide Congo
  2. Amapiano asili yake huko south Africa
  3. Rbn asili yake huko American
  4. Hip-hop asili yake huko American
  5. Bongo flavour mtohoa kwa Nigeria flavour
  6. Reggae asili yake huko jamaica
  7. N.k
Sasa ww niambie nyimbo ipi unaimba au inaimbwa na watanzania ni uasili hapa
 
Tatizo Singeli imetekwa na wahuni.
Unasikia mmoja anamwambia mwenzie:
"... geuka shika ukuta.."

View: https://youtu.be/6Pg1bF8lDUg?si=FX1699wTR4tgWmFx

Usifafanue sana unaharibu kiswahili nilugha flan usipo maliza sentensi inaleta ukakasi maneno yake mkuu mfano
.unaweza mwambia mwanaume mwenzako chuchumaa . Ishia hapa hapa atakumind lakn ukisema chuchumaa nyuki hao ataona umemuokoa hii lugha bila kumaliza sentence ukaweka mdokezo ngumu sna
 
Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania

Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
Mbona singeli inachezeka tu kwa heshima ila waovu ndio wanaicheza bila maadili. Kabudi hapo alichoashiria mdundo wa singeli ni mdundo kwa asili wa kitanzania. Mdundo unapendwa na hakika ni mzuri.
 
Usifafanue sana unaharibu kiswahili nilugha flan usipo maliza sentensi inaleta ukakasi maneno yake
Umesikiliza hiyo clip?
Ni wapi nimefafanua sana?

Hapo nime quote maneno ya muimbaji, sijaongeza wala kupunguza
 
Back
Top Bottom