Inakuaje Lawrence Mafuru azikwe Dar na sio kwao Mara?

Kwa nini hao watu wa kijijini wasifanye lolote huko kijijini? Mfanyakazi au Mtumishi wa serikali atapata wapi pesa za kujenga mjini na kijijini bila wizi au rushwa wa mali za umma??
Nyinyi watu wa mjini ndo mna fursa za kuiba hela za hao wavuja jasho wa vijijini. Not the other-way round.
 
Wanaume wa Mara wamejaa Ukonga, Daaslamu wanauza mayai kwenye baiskeli kwa nini wakifa wasizikwe Dar??
 
In Africa, we don't die, tunakuwa ancestors, sasa imagine unakuwa ancestor makaburi ya kisutu au kinondoni, kushoto na kulia umezungukwa na strange spirits, hazioani na mizimu yenu, mwingine kafa kwa kupigwa mawe baada ya kuiba simu, mwingine alikuwa changudoa. Unamzika hapo, hapo hapo mlipozika, kuna mtu mwingine alizikwa eneo hilo, spirit yake bado iko hapo inarandaranda.

Hata mkienda kumuombea, mnajikuta mnaombea kitu kingine.

Lastly, ni uchawi, wengi wanaogopa kupeleka familia zao vijijini kwa sababu ya uchawi. Hasa kwa wajita, wakerewe na wakwaya, na wajaluo. Wakurya uchawi si sana, wao ni kukatana mapanga tu.
 
This is the biggest bullshit of all time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…