Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
wadau habari zat weekend.
Natumaini ni wazima.
Leo naomba kuwekwa sawa kuhusu jambo hili.siku hizi vijana wengi wamekuwa wakijiua sababu ya mapenzi.Je ni sababu ya kupenda sana au ni kufikiri kwamba huwezi kupata tena mpenzi kama yule.
Hebu tujadiliane tupeane uzoefu.

Subiri kwanza nkuulize ABUBAKAR SHEKAU ushawahi kupenda? Ile kupenda yenyewe hasa
Ni shetani anakuwa amewakalia kooni ni kuwafanya wajione hawana thamani tena ya kuishi kwa kitu walichotendewa. Na pia ni kutokukubali hali iliyokutokea na kubaki kujiuliza kwanini isiyo na jibu.