Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama ni hivyo si waache kazi kwani wamelazimishwa?🤣Wanataka customer care kama ya hotel, au profit making firms, hata kwa huduma za kimishonari hakuna hicho unachotaka "mteja Mfalme" does not apply on every service, kwanza Hawa watumishi wanafanya KAZI kwenye mazingira yenye changamoto sana, halafu mnataka wawe wanigiza na fake smile au lugha za ki "air hostess"😇😆
kwa nature ya kazi yangu sina migogoro na wateja, napata trophies za heshima zaidi, niko honored and blessed na wateja wangu kwa utumishi wa umma, mi nina stick to ethical principles za taaluma yangu, kitu mabacho pia huwa ni kikwazo kwa baadhi ya wateja wanotaka shortcuts na upendeleo, hao ndyo haters wanguTutaanza kuwataja na majina mimi nilimlipua dada mmoja NMB mpaka akaniomba msamaha acheni hizo nyinyi
Zipi hizo shortcuts?kitu mabacho pia huwa ni kikwazo kwa baadhi ya wateja wanotaka shortcuts na upendeleo, hao ndyo haters wangu
Kuna pimbi mmoja NBC aliniibia pesa. Nilikuwa ndeposit fedha nyingi eti badala azihesabu kwa kutumia machine, akanza kuzihesabu kwa mkono kisha akawa anaziingiza sasa mashine. Ndipo ikapelea noti moja ya 10000 wakati pesa nilizihesabu vizuri tena nikarudia.Tutaanza kuwataja na majina mimi nilimlipua dada mmoja NMB mpaka akaniomba msamaha acheni hizo nyinyi yaan kukaliakalia hivyo viti vya kuzunguka na kupigwa na kakiyoyozi basi unajiona umemaliza kila kitu?
Hakuna kitu chochote kikaitwa cha serikali/umma kikawa na ufanisi.....kuanzia shule, hospitali, barabara, majengo, nk. Ni upuuzi mtupu!Taasisi nyingi za serikali ziko hivyo
Sasa kama ni hivyo si waache kazi kwani wamelazimishwa?
Kwa hiyo kufanya kwao kazi kwenye mazingira magumu ndio frustration zao wanakuja kumalizia kwa watu wasiohusika badala ya kuwawajibisha waajiri wao?
Mbona una utetezi wa ovyo sana, no wonder ndio maana hata soko lenu la ajira limeiishia humu humu ndani tu.
😇🤣Sasa kama ni hivyo si waache kazi kwani wamelazimishwa?
Kwa hiyo kufanya kwao kazi kwenye mazingira magumu ndio frustration zao wanakuja kumalizia kwa watu wasiohusika badala ya kuwawajibisha waajiri wao?
Mbona una utetezi wa ovyo sana, no wonder ndio maana hata soko lenu la ajira limeiishia humu humu ndani tu.
Umeona hio ilivyo sasa huyo ni mmoja wao katika wengi mimi nikikutana nao watu km hao nawalipua yaan kitaeleweka sicheki na nyauKuna pimbi mmoja NBC aliniibia pesa. Nilikuwa ndeposit fedha nyingi eti badala azihesabu kwa kutumia machine, akanza kuzihesabu kwa mkono kisha akawa anaziingiza sasa mashine. Ndipo ikapelea noti moja ya 10000 wakati pesa nilizihesabu vizuri tena nikarudia.
Nikaja kutonywa na mtu kwamba huwa wanajifanya kuhesabu kwa mkono kwanza ili kumzubaisha mteja. Ukizubaa tu anatupa noti moja chinikisha anaanza sasa kuhesabu kwa mashine.
Nilimkamia sana yule mwanmke siku moja nikarudi pale nimkamatishe bahati nzuri hakuwepo. Ningekiwasha asingekuja kunisahau maishani mwake.
Alafu wengi ni wale walioajiriwa kwa vimemo nao jau sanaa unaweza kumuwazia mabaya mabaya mpaka baadae unatubu, balaa jingine liko NIDA huko watu wanafokewa kama watoto aiseeNinapata ukakasi kumuharibia mtu kipato, ila kama sio mimi lazima kuna mtu atamlipua tu sio kwa madharau yake kama ashahaidiwa pepo
Waache kazi km kazi zimewashinda waache kuna lundo la vijana wapo wengi wenye sifa ya kuzifanya hizo kazi km zinawashinda waache tu shida ipo wapi au mazoea?🤣Wanataka customer care kama ya hotel, au profit making firms, hata kwa huduma za kimishonari hakuna hicho unachotaka "mteja Mfalme" does not apply on every service, kwanza Hawa watumishi wanafanya KAZI kwenye mazingira yenye changamoto sana, halafu mnataka wawe wanigiza na fake smile au lugha za ki "air hostess"😇😆
Watumishi wa serikali wengi ni vilaza sana tena sanaHeshima kwenu Wakuu,
Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.
Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.
Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".
Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.
Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.
Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.
Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.
Ni TRA Tanzania
RITA nina ushuhuda nayo Ila jibu lilipatikana siku hiyo na mpaka sasa Yule dada hatanisahauNIDA
TRA
RITA
OFISI ZA BIASHARA MANISPAA
Mjitafakari Kuna maisha baada ya kazi
🤐
Kuna mtu nilimuuliza humu kwamba mara ya mwisho uliona mtumishi yeyote wa serikali akitumbuliwa/kuwajibishwa kwa uzembe ni lini? Akasema hayo ni mambo ya kizaman na ni uonevu.Hii ndio Tanganyika ya CHURA!! Kama kiongozi mkuu hana muda na TAIFA yy atatoa wapi huduma nzr kwa wananchi?
Tangu chura akiwa madarakani umewahi kumuona wapi akitetea wanyonge kwa hadhala.
KAZI ni kipimo cha UTU
Hii tabia alikuwa nayo mwalimu wangu mmoja hivi, tulichezea sana stick enzi hizo kwa makosa madogo tu mpaka walimu wenzake wakawa wanamsema, kumbe alikuwa anapitia manyanyaso sana kwa mke wake ambaye alikuwa amemzidi umri.Mm nashindwa kuelewa eti mfanyakazi kavurugwa nyumbani na mke wake JE mteja yy ndio avulugwi nyumbani na mke wake?
Huduma mbaya n mbaya TU.
KAZI ni kipimo cha UTU
Ilikuaje na alifanywajwe?RITA nina ushuhuda nayo Ila jibu lilipatikana siku hiyo na mpaka sasa Yule dada hatanisahau
Hii tabia alikuwa nayo mwalimu wangu mmoja hivi, tulichezea sana stick enzi hizo kwa makosa madogo tu mpaka walimu wenzake wakawa wanamsema, kumbe alikuwa anapitia manyanyaso sana kwa mke wake ambaye alikuwa amemzidi umri.Mm nashindwa kuelewa eti mfanyakazi kavurugwa nyumbani na mke wake JE mteja yy ndio avulugwi nyumbani na mke wake?
Huduma mbaya n mbaya TU.
KAZI ni kipimo cha UTU
Ungeweka bold ili waone vizuri km wamechoka kazi waache wawapishe vijana wengine waingie kufanya kazi kuna lundo la vijana mtaani wenye sifa za kufanya hizo kazi tena kwa weledi mkubwa sanaNIDA
TRA
RITA
OFISI ZA BIASHARA MANISPAA
Mjitafakari Kuna maisha baada ya kazi
🤐