Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Hii ndio Tanganyika ya CHURA!! Kama kiongozi mkuu hana muda na TAIFA yy atatoa wapi huduma nzr kwa wananchi?
Tangu chura akiwa madarakani umewahi kumuona wapi akitetea wanyonge kwa hadhala.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
🤣Wanataka customer care kama ya hotel, au profit making firms, hata kwa huduma za kimishonari hakuna hicho unachotaka "mteja Mfalme" does not apply on every service, kwanza Hawa watumishi wanafanya KAZI kwenye mazingira yenye changamoto sana, halafu mnataka wawe wanigiza na fake smile au lugha za ki "air hostess"😇😆
Sasa kama ni hivyo si waache kazi kwani wamelazimishwa?

Kwa hiyo kufanya kwao kazi kwenye mazingira magumu ndio frustration zao wanakuja kumalizia kwa watu wasiohusika badala ya kuwawajibisha waajiri wao?

Mbona una utetezi wa ovyo sana, no wonder ndio maana hata soko lenu la ajira limeiishia humu humu ndani tu.
 
Tutaanza kuwataja na majina mimi nilimlipua dada mmoja NMB mpaka akaniomba msamaha acheni hizo nyinyi
kwa nature ya kazi yangu sina migogoro na wateja, napata trophies za heshima zaidi, niko honored and blessed na wateja wangu kwa utumishi wa umma, mi nina stick to ethical principles za taaluma yangu, kitu mabacho pia huwa ni kikwazo kwa baadhi ya wateja wanotaka shortcuts na upendeleo, hao ndyo haters wangu
 
Tutaanza kuwataja na majina mimi nilimlipua dada mmoja NMB mpaka akaniomba msamaha acheni hizo nyinyi yaan kukaliakalia hivyo viti vya kuzunguka na kupigwa na kakiyoyozi basi unajiona umemaliza kila kitu?
Kuna pimbi mmoja NBC aliniibia pesa. Nilikuwa ndeposit fedha nyingi eti badala azihesabu kwa kutumia machine, akanza kuzihesabu kwa mkono kisha akawa anaziingiza sasa mashine. Ndipo ikapelea noti moja ya 10000 wakati pesa nilizihesabu vizuri tena nikarudia.

Nikaja kutonywa na mtu kwamba huwa wanajifanya kuhesabu kwa mkono kwanza ili kumzubaisha mteja. Ukizubaa tu anatupa noti moja chinikisha anaanza sasa kuhesabu kwa mashine.

Nilimkamia sana yule mwanmke siku moja nikarudi pale nimkamatishe bahati nzuri hakuwepo. Ningekiwasha asingekuja kunisahau maishani mwake.
 
Sasa kama ni hivyo si waache kazi kwani wamelazimishwa?

Kwa hiyo kufanya kwao kazi kwenye mazingira magumu ndio frustration zao wanakuja kumalizia kwa watu wasiohusika badala ya kuwawajibisha waajiri wao?

Mbona una utetezi wa ovyo sana, no wonder ndio maana hata soko lenu la ajira limeiishia humu humu ndani tu.

Sasa kama ni hivyo si waache kazi kwani wamelazimishwa?

Kwa hiyo kufanya kwao kazi kwenye mazingira magumu ndio frustration zao wanakuja kumalizia kwa watu wasiohusika badala ya kuwawajibisha waajiri wao?

Mbona una utetezi wa ovyo sana, no wonder ndio maana hata soko lenu la ajira limeiishia humu humu ndani tu.
😇🤣
 
Kuna pimbi mmoja NBC aliniibia pesa. Nilikuwa ndeposit fedha nyingi eti badala azihesabu kwa kutumia machine, akanza kuzihesabu kwa mkono kisha akawa anaziingiza sasa mashine. Ndipo ikapelea noti moja ya 10000 wakati pesa nilizihesabu vizuri tena nikarudia.

Nikaja kutonywa na mtu kwamba huwa wanajifanya kuhesabu kwa mkono kwanza ili kumzubaisha mteja. Ukizubaa tu anatupa noti moja chinikisha anaanza sasa kuhesabu kwa mashine.

Nilimkamia sana yule mwanmke siku moja nikarudi pale nimkamatishe bahati nzuri hakuwepo. Ningekiwasha asingekuja kunisahau maishani mwake.
Umeona hio ilivyo sasa huyo ni mmoja wao katika wengi mimi nikikutana nao watu km hao nawalipua yaan kitaeleweka sicheki na nyau
 
Ninapata ukakasi kumuharibia mtu kipato, ila kama sio mimi lazima kuna mtu atamlipua tu sio kwa madharau yake kama ashahaidiwa pepo
Alafu wengi ni wale walioajiriwa kwa vimemo nao jau sanaa unaweza kumuwazia mabaya mabaya mpaka baadae unatubu, balaa jingine liko NIDA huko watu wanafokewa kama watoto aisee
 
🤣Wanataka customer care kama ya hotel, au profit making firms, hata kwa huduma za kimishonari hakuna hicho unachotaka "mteja Mfalme" does not apply on every service, kwanza Hawa watumishi wanafanya KAZI kwenye mazingira yenye changamoto sana, halafu mnataka wawe wanigiza na fake smile au lugha za ki "air hostess"😇😆
Waache kazi km kazi zimewashinda waache kuna lundo la vijana wapo wengi wenye sifa ya kuzifanya hizo kazi km zinawashinda waache tu shida ipo wapi au mazoea?
 
Mm nashindwa kuelewa eti mfanyakazi kavurugwa nyumbani na mke wake JE mteja yy ndio avulugwi nyumbani na mke wake?
Huduma mbaya n mbaya TU.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Watumishi wa serikali wengi ni vilaza sana tena sana
 
Hii ndio Tanganyika ya CHURA!! Kama kiongozi mkuu hana muda na TAIFA yy atatoa wapi huduma nzr kwa wananchi?
Tangu chura akiwa madarakani umewahi kumuona wapi akitetea wanyonge kwa hadhala.
KAZI ni kipimo cha UTU
Kuna mtu nilimuuliza humu kwamba mara ya mwisho uliona mtumishi yeyote wa serikali akitumbuliwa/kuwajibishwa kwa uzembe ni lini? Akasema hayo ni mambo ya kizaman na ni uonevu.

Nikamuuliza tena je, ndio tuseme kwamba siku hzi watumishi wa serikali wote wamekuwa na nidhamu na wanafanya kazi kwa waledi ndio maana hatuoni wakitumbuliwa?.. akakosa jibu.

Ni jambo ambao liko wazi, awamu hii kuna uzembe na upuuzi mwingi sana uliokithiri kwa watumishi wengi wa serikali, ukienda hospital ya Sekotoure pale Mwanza unaweza ukatamani kulia jinsi manesi wanavyotoa lugha kali kwa wagonjwa na kuwapa huduma mbovu.

Nakumbuka mwanangu Thom mke wake alivyooenda kujifungua akapishana kauli kidogo tu na Nesi alichomwambia yule nesi eti "ukiona nimekuja hapa kukuhudumia tena uniiite mbwa" mind you huyu ni mtu ambaye analipwa mshaara kwa kodi zetu anatoa kauli kama hiyo kwa mgonjwa... na kweli yule nesi hakurudi mpaka ikabidi atafutwe nesi mwingine.

Huwa nasema kila siku hii ni awamu ya machawa ina mapungufu mengi mno na moja wapo ni kurdisha uzembe kwa watumishi serikalini, sababu kuu inayofanya hawa watumishi kumpenda sana huyo chira kiziwe ni kwa sababu anawaongezea mishaara huku akiwaruhusu pia kufanya kazi wanavyojiskia bila waledi wala nidhamu.
 
Mm nashindwa kuelewa eti mfanyakazi kavurugwa nyumbani na mke wake JE mteja yy ndio avulugwi nyumbani na mke wake?
Huduma mbaya n mbaya TU.
KAZI ni kipimo cha UTU
Hii tabia alikuwa nayo mwalimu wangu mmoja hivi, tulichezea sana stick enzi hizo kwa makosa madogo tu mpaka walimu wenzake wakawa wanamsema, kumbe alikuwa anapitia manyanyaso sana kwa mke wake ambaye alikuwa amemzidi umri.
 
Back
Top Bottom