inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

Ila mwaka mzima kashindwa kuitoa nduki hamas
Sunday skuli zimewafanya kua vilaza zaidi
Hamas wanatumia miundombinu ya kijamii kama shule, hospitali, misikiti, nyumba za raia, na wanavaa kiraia unafikiri israel itafanikiwa kirahisi lasivyo mkitaka vita viishe haraka raia wengi wa gaza watakufa sana sasa israel inatumia muda mrefu kuchambua taratibu raia na hamas ili kupunguza maafa mengi kwa raia
 
Madai ya kikundi kujificha nyuma ya watu ni uongo yalishathibitishwa ni uongo.
Pia kuhusu Israel HANA UWEZO wa kuyapiga mataifa ya kiarabu kama unavyodhani.
Acheni stori za vijiwe vya kahawa vya six days war.
Yana ukweli embu tuweke ushahidi kuwa hamas hawajifichi nyuma ya raia tatizo lenu mafia dini ni wabishi pasipo fact
 
Iishe wakuimaliza nani aimalize israhell si ndio mwenye jeshi bora kama mnavyodangangwa
Raia watakufa na wanakufa sana ila haki yao lazima waipiganie
Hakujawa na ulelemama kwenye kudai yaqqi yako
 
Yana ukweli embu tuweke ushahidi kuwa hamas hawajifichi nyuma ya raia tatizo lenu mafia dini ni wabishi pasipo fact
Huo ukweli unauona wewe tu!?
Mbona vyombo vya kimataifa vimekanusha!?
Maana hakuna RISASI wala MGAMBO wa Hamas anayepatikana katika hivyo vifo vya raia.
Sasa uniambie inamaana hilo bomu linabagua linaua raia na kuacha Hamas wasife!?
 
Gaidi mzuri ni yule aliacha kula Ugali na kahamia Mochwari.
 
Yana ukweli embu tuweke ushahidi kuwa hamas hawajifichi nyuma ya raia tatizo lenu mafia dini ni wabishi pasipo fact
UN IMEKANUSHA wewe ni nani ushikilie hayo madai!??
We itakua punguani Waheed.
Katika hao raia wanaouawa ripoti za UN zinasema ni wanawake na watoto na wazee.
Sasa kama Hamas wanajificha nyuma ya raia kwanini hawapatikani katika hizo maiti??
Yani wewe ujifiche nyuma ya shemeji nikulipue bomu afe shemeji halafu wewe upone!?
Are you out of your Sanity!??
 
Inakuaje Israel nchi yenye nguvu na intelligensia Duniani inashindwa kuwamaliza wanamgambo wa Hamas na kuokoa raia wake ambao wapo kaeneo kadogo tu ka Gaza🤣
Ikiokoa mateka mapema magaidi hawatachapika ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…