Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Hamas wanatumia miundombinu ya kijamii kama shule, hospitali, misikiti, nyumba za raia, na wanavaa kiraia unafikiri israel itafanikiwa kirahisi lasivyo mkitaka vita viishe haraka raia wengi wa gaza watakufa sana sasa israel inatumia muda mrefu kuchambua taratibu raia na hamas ili kupunguza maafa mengi kwa raiaIla mwaka mzima kashindwa kuitoa nduki hamas
Sunday skuli zimewafanya kua vilaza zaidi