Inakuaje!


heri na kwako pia kaka..
cjui tufanyaje ilituridhike na ndoa zetu, mie wakati ule niljaribu kumuweka mr chini na kumuhoji ni kitu gani kimempelekea mpaka akafanya vile, jibu ni kwamba hata mwenyewe hajielewi y alifanya hivyo, kwa maelezo yake ni kwamba anajutia sana coz hakuna kipya alichokiona huko, sasa y uli cheat, nisamehe mke wangu...khaaa jamani...
 
Mzee DC ulichosema ndo haswa nilichokua nakisubiria!Watu wanatumia visingizio vya ndoa ngumu..mke/mume mbaya..ili wao waonekane kama victim badala ya kukubali kwamba "mimi natoka nje kwasababu nimeamua..napenda..sijatulia..n.k".Hiyo inatengeneza mazingira ambayo siku zote yanamfanya mtendwa ndo aonekane mbaya!Watu hawataki kukubali makosa yao...siku zote mwenzi ndo msababishi na hili ndo haswa hua linaniboa..ndo maana sichoki kusema kama umemshindwa mtu mwache badala ya kuruka huku na kule!
 
sante Mzee
DC .. hapo kwenye blue
kila mtu akifanya na kuwa hivyo na dhani tatizo limeisha..
God Bless

Ahsante sana AD na pole kwa kukueleza hizi hadithi ambazo kweli zinaleta nausea na kizunguzungu!

Binafsi huwa naamini kwamba binadamu anatakiwa ku-play party yake responsively kabla ya kuwaangalia wengine. Bahati mbaya wengi tunaanza kwa kuwaangalia wenzetu na kulaumu kabla hatujatimiza wajibu wetu.. That's very wrong!
 


kheri maskini wa roho........lazima watapata ufalme wa mbinguni.
 


Pole sana dada...Binadamu ni kiumbe cha hovyo sana (naomba mnisamehe)!! Kwani pamoja na majibu mazuri kama hayo na kuomba msamaha, mtu kama huyo hachukui hata week...tayari keshaenda tena kwenye huo uhuni wake ambao anadai anafanya bila kujitambua!

Na kweli tumshukuru Mungu kwamba mara nyingi ambazo sisi tunatoka nje au wenzetu wanatoka hizo habari hazijulikani. Nadhani mtu ukimfunga mwenzio CCTV huwezi kuishi zaidi ya masaa 48 kabla hujafikishwa ICU au kuimbiwa pambio kabisa!!
 

Mpendwa kwa hali hii nadhani wengine tutabaki kua waangaliaji
 
Mpendwa kwa hali hii nadhani wengine tutabaki kua waangaliaji

Utaimudu nguvu ya nature? Wewe ingia kwenye mchezo tu bila kujali kwamba kuna rafu tena nyingine za hatari. Ukitokea kuwa muhanga basi potelea mbali, wengine watakufanyia reference. Kukaa nje pia ni hatari sana!

Mshukuru Mungu kwamba akina Nyamayao et al. (and others) wamekupatia walau hadidu za rejea kwamba kwa sasa unajua nini cha kutegemea ukishakivaa kitanzi!
 

mmmhhhh
asante
still it doesn't make sense to me ..
pamoja na hizo reasons, circumstances na situations
bado sielewe vipi kutoka nje ya ndoa inasaidia nini kwenye ndoa mtu aliyonayo???

Anyway asante kwa majibu yako ..
 

Lizzy;

Nimeona wakati mwingine michango yetu mingi hapa ni ya kiushabiki zaidi na si ya kitaaluma. naomba nitoe maoni yangu based on facts:

Kisaikologia kuna namna tatu ya tabia:

1. Tabia halisi ya mtu ambayo yeye binafsi anaijua yote na hakuna mwingine anayeweza kuifahamu 100%
2. Tabia ya mtu aliyoichuja ambayo anapenda watu waione na waijue lakini ikificha udhaifu wake au tabia yake mbaya
3. Tabia ya mtu ambayo watu wengine wanaiona au wanavyomwona ambayo wewe ndiyo umeizungumzia.

Tabia ya mtu inajengeka kutokana na mambo mengi yakiwepo makuzi, traits ambazo ni matokeo ya vinasaba vya kuridhi (Genes), jamii inayokuzunguka na mengineyo.

katika tabia za mtu zinazotokana na genes, Simba ni Simba hawezi kuwa mtu. Halikadhalika Mbuzi ni Mbuzi hawezi kuwa mtu. Nazungumzia tabia zilizopo kwenye 1. ambazo aghalabu baada ya muda mrefu hujitokeza. Umeshasikia usemi kuwa "tabia za mtu hazijifichi". Kam utaamua kuita mapepo sawa. Inataka nguvu ya ziada na will power kubadilisha kabisa tabia za mtu.

Ninayo mengi, lakini kwa leo niishie hapa.
 
Mpendwa kwa hali hii nadhani wengine tutabaki kua waangaliaji
Lizzy huna haja ya kukata tamaa.kama alivyosema Babu DC play your part.omba MUNGU akupatie mtu wa kufanana nawe .tukiipata kapo yenu moja ambayo ni aminifu ni wazi kuwa tuna mwanzo mzuri na vita tutavishinda.... but just be careful usijiaminishe sana kwani ni bora ukajatendwa huku ukitegemea ungetendwa maumivu yake si makali sana kuliko ukajiaminisha hutotendwa na kisha ukajatendwa.

Jikabidhi kwa Muumba wako akuepushe................. mapenzi yasikieni kwa mbali tu wapendwa wangu
 
Mpendwa kwa hali hii nadhani wengine tutabaki kua waangaliaji

hapana....mnatakiwa muingie, ni darasa tosha la kimaisha, mckatishwe tamaa na matatizo ye2 humu, mjue mambo yanatofautiana sana sana humu ndani, mckate tamaa kabisa kabisa, naomba muingie mkijua kwamba matatizo yapo na yanatofautina sana pia....
 
Aisee kitanzi sivai...labda ila sidhani!Kwa hali hii bora nibadili dhehebu nikawe mtawa ikibidi!
 
mmmhhhh
asante
still it doesn't make sense to me ..
pamoja na hizo reasons, circumstances na situations
bado sielewe vipi kutoka nje ya ndoa inasaidia nini kwenye ndoa mtu aliyonayo???

Anyway asante kwa majibu yako ..

Kweli AD,

Hata mimi siamini kama unaweza kuelewa sasa. Muda ukifika naamini utaelewa tu.

Ili kupata ajali barabarani siyo lazima kwamba wewe umeendesha kwa uzembe. Inawezekana mtu akafanya uzembe na kukusababishia matatizo makubwa hata kupoteza maisha. Jipe moyo kamba utabahatika kukutana na madreva wazuri katika njia yako.

Mzee DC
 

Lizzy,

Kwa sisi ambao tumeshatoka na wake za watu naomba tusichangie maana tunaweza kuwa revealed!

Pasaka Njema
 
mmmhhhh
asante
still it doesn't make sense to me ..
pamoja na hizo reasons, circumstances na situations
bado sielewe vipi kutoka nje ya ndoa inasaidia nini kwenye ndoa mtu aliyonayo???

Anyway asante kwa majibu yako ..


AD is there any place nilosema kuwa yeye kutoka kwake kunasaidia ndoa anayoicheat?? nimetumia neno COWARD yaani mtu asiye na ujasiri wa kuamua lililo sahihi kwake i.e. kama hampendi aliye naye amuache no matter the consequences!
 

na kwa maisha ya sasa mtu ukiiamua kuingia na ujue chochote chaweza kutokea, tena hiyo ya kujiamninisha ndio kitu cha kwanza mnatakiwa mkiweke kando coz mnatakiwi kuusemea moyo wa mwezi wako....
 
Aisee kitanzi sivai...labda ila sidhani!Kwa hali hii bora nibadili dhehebu nikawe mtawa ikibidi!

HAhahahahahahahahah, poooole sana Lizzy,

Umeongea na hao watawa wakakueleza changamoto zao? There is no free lunch...Popote utakapoamua kwenda lazima utalipa nauli tu.. Tofauti ni amount utakayolipa!
 

ni kweli kabisa DC
na asante sana
na si kuwaangalia tu na wengine tumekulia
wazazi au walezi wakiwa hivyo...

asante tena
na usiku mwema..
 
Tunapozidi kusema ni shetani naye shetwani anapata kichwa :NIMEWAWEZA!!!!!!!MI NAONA NI HULKA YA MTU binafsi na sio shetani per say,tabia binafsi,pia kusahau wajibu wetu ndani ya nyumba ,mfano kaka anasema wifi yako nampa kila kitu lakini hatosheki na kweli the man is resposible kiukweli,hard working,anapenda watoto na mke sana tuu, da family is sssooo happy,LAKINI WIFI anasema kaka yako akirudi kachoka sana ukimgusa nimechoka,ohhhhhhh,kesho,kesho ikifika afadhali ya jana ,,a month two month &&&&&& so so so,kaka uhakika upo hatoki nje ya ndoa !!!!!!hapo panahitajika NENO UVUMILIVU ,NI wangapi tunaweza,wanaweza??????????????????kwangu mimi kutoka nje sio suluhisho kabisa.mara mia kupiga P...........just saying!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…