Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Karibu dada na heri ya pasaka,
Kuchepuka ni tabia ya mbu na kwa hiyo si rahisi kuiacha. Ila bahati mbaya ni tabia ya watu tulio wengi. Hapo ndipo wataalamu wanapotakiwa kukuna vichwa. May tungeachwa tuishi kama wanyama wa porini (promiscuous) labda ingekufa yenyewe!
heri na kwako pia kaka..
cjui tufanyaje ilituridhike na ndoa zetu, mie wakati ule niljaribu kumuweka mr chini na kumuhoji ni kitu gani kimempelekea mpaka akafanya vile, jibu ni kwamba hata mwenyewe hajielewi y alifanya hivyo, kwa maelezo yake ni kwamba anajutia sana coz hakuna kipya alichokiona huko, sasa y uli cheat, nisamehe mke wangu...khaaa jamani...