Inakuaje!

Ushauri wangu ni mmoja:

Jaribu kudadisi mambo ambayo mwenzi wako anayaona kuwa mema - na siyo kumtendea kama ilivyoandikwa - Then, trust me, and God, hakuna atakayetoka nje ya ndoa kamwe...

Kwa mfano:
BE akiwa Baa upendelea kukaa kaunta, then ME, akiwa na BE Baa lazima wakae kaunta,
ME hapendi kula chakula baa, BE hawezi kurudi nyumbani kutoka Baa akatae kula kwa maana ME does not like that!
ME hapendi kukaa na BE 24/7 hata siku za mapumziko (anahitaji space), mpe space...
BE anapenda kula "makande" 30 days/Month, ME lazima apike makande at least 28 days/Month..

Remember, Ndoa ni SAKRAMENT TAKATIFU, lakini, maisha ya NDOA SIYO UTAKATIFU...

Jioni Njema, nawahi Oceanic kula nyama ya Bata na Serengeti Bariiiiiiiidi - ME leo amesema leo hatoki!
 
hahahahahahah lol
haya bwana wawili tu dahh

Nway ni kweli tunamsahau Mungu kwa mambo mengi sana
siku yakikufika shingoni au yakiharibika jumla hapo ndo tunamtafuta
Mungu na kuimba Hallelujah....
 
duhh...nimekupa thanks ... wengi tunam-bip tu Mungu
 
Na amini wapo wengine ambao hawajatoka na mikono hawakunyoosha, halafu hao kimbelembele front ndio asubuhi waliamkia kwa mahawara, what do you think TF
 
Ndoa ya aina hiyo ni mfano wa kuigwa, kwani ndoa ni more than just sex. Mkiweza kuwa marafiki uwezekano wa kuishi pamoja muda mrefu ni mkubwa kwani, mnashare interests. Uoni kuwa familia ambazo baba na mama wanacheka kwenye gari na kupiga story zina afya kuliko wanaonuna. Hata kwa watoto ni very health.

Na amini wapo wengine ambao hawajatoka na mikono hawakunyoosha, halafu hao kimbelembele front ndio asubuhi waliamkia kwa mahawara, what do you think TF
Mimi niliishia kusema na kufikiri kuwa labda wengine hawajaoa ndio maana hawakunyoosha mikono
 
hahahahahahah lol
haya bwana wawili tu dahh

Nway ni kweli tunamsahau Mungu kwa mambo mengi sana
siku yakikufika shingoni au yakiharibika jumla hapo ndo tunamtafuta
Mungu na kuimba Hallelujah....
Kuimba Hallelujah ni muhimu sana huwezi jua ni lini Mungu anakunyooshea mkono na kukwambia Mwanangu shika mkono wangu upumzike kivulini
 
Kuimba Hallelujah ni muhimu sana huwezi jua ni lini Mungu anakunyooshea mkono na kukwambia Mwanangu shika mkono wangu upumzike kivulini

ni kweli
mie point yangu iko hapa
tunamsahau Mungu siku tukiwa na raha zetu
na pale shida inapotukamata ndo tunamkimbilia..

Ni kweli Mungu hamtupi mja wake..
lakini sisi binadamu ndo yulivyo..
tunachukua advantage ya huo msemo..
 
hahahahahahah lol
haya bwana wawili tu dahh

Nway ni kweli tunamsahau Mungu kwa mambo mengi sana
siku yakikufika shingoni au yakiharibika jumla hapo ndo tunamtafuta
Mungu na kuimba Hallelujah....
Yakikufika shingoni ndio unarudi kwa mkeo/mumeo kwamba nisamehe eti ni shetani tunamsingizia shetani utafikiri tunakuwa naye
 
Gaga kwanini nibadili msemo wangu?
Sababu ya hiyo quote yangu na huo mfano wa Mungu,nionavyo mimi unapaswa ujumuike na wakosaji na uwaelekeze mema badala ya kuwakana na kusema hufanani nao au inakuwaje hapo rafiki
 
Yakikufika shingoni ndio unarudi kwa mkeo/mumeo kwamba nisamehe eti ni shetani tunamsingizia shetani utafikiri tunakuwa naye

hahahahah lol
ndoa siku hizi usanii mtupu..
kama ritz alivyosema hapo juu..

sana sana tunajidanganya wenyewe tuu..
 
Hahahaha...alafu miaka kadhaa ijayo na wewe hutanyoosha ehh?
 
ni kweli
mie point yangu iko hapa
tunamsahau Mungu siku tukiwa na raha zetu
na pale shida inapotukamata ndo tunamkimbilia..

Ni kweli Mungu hamtupi mja wake..
lakini sisi binadamu ndo yulivyo..
tunachukua advantage ya huo msemo..
Yah everybody should take advantage of any situation kama ina benefit kwake kwa wakati huo mpaka akae sawa. Sasa wa kuimba hallelujah tunaimba, wa kujidanganya kupindisha hali halisi na maisha yalivyo wanaendelea, ilimradi kila mtu anafikia anapotaka na akiangalia nyuma anajiuliza, hivi ni mimi nimetoka mbali kule au sio mimi?? Uzuri Mungu ni wa wote ndio maana utakuta mchungaji mzuri tu mwishoni anamkosea Mungu na kwenda motoni ila kuna mwingine mtenda dhambi kubwa anapata Golden chance dakika za Mwisho anatubu, hii imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…