Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Ushauri wangu ni mmoja:
Jaribu kudadisi mambo ambayo mwenzi wako anayaona kuwa mema - na siyo kumtendea kama ilivyoandikwa - Then, trust me, and God, hakuna atakayetoka nje ya ndoa kamwe...
Kwa mfano:
BE akiwa Baa upendelea kukaa kaunta, then ME, akiwa na BE Baa lazima wakae kaunta,
ME hapendi kula chakula baa, BE hawezi kurudi nyumbani kutoka Baa akatae kula kwa maana ME does not like that!
ME hapendi kukaa na BE 24/7 hata siku za mapumziko (anahitaji space), mpe space...
BE anapenda kula "makande" 30 days/Month, ME lazima apike makande at least 28 days/Month..
Remember, Ndoa ni SAKRAMENT TAKATIFU, lakini, maisha ya NDOA SIYO UTAKATIFU...
Jioni Njema, nawahi Oceanic kula nyama ya Bata na Serengeti Bariiiiiiiidi - ME leo amesema leo hatoki!