The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Gud we are on the same paceMimi sijawahi kuacha ila sasa nataka na ambao hawajawahi wajiunge ili pamoja tubadilishe hali mbaya iliyopo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gud we are on the same paceMimi sijawahi kuacha ila sasa nataka na ambao hawajawahi wajiunge ili pamoja tubadilishe hali mbaya iliyopo!
Ahaa ahaa Shantel ngoja nirudi nikufuate hatuwezi kukuacha.tehe mi bado kidogo lizzy nina mambo mengi ya ku accomplish befor sijaanza kuwa kama wewe, tangulia nitakukuta soon mwaka hauishi
Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha tuwachukulieje?
Nikiangalia muda my dad and mum muda waliokaa kwenye ndoa i wish na mimi i follow the same line.I wish kungekua na straight answers, ingetusaidia hata wanandoa and life would have been so simple...
I know i will get there with God's graceJiLike kwa niaba yangu!
Nikiangalia muda my dad and mum muda waliokaa kwenye ndoa i wish na mimi i follow the same line.
You are right kila mtu anajifanya anajua kuliko mwenzake hapo ndio tatizo linapoanza.Do you want to know the secret? it was 60% ur mom's doin and 40% ur dad's doin, its a great balance. Issue sasa hivi ni kua kila mtu anataka 50% percent each katika ndoa. which makes it impossible - magwiji wawili in the same zizi???
Caroline Amen.HOFU ya Mungu itawale zaidi. Unajua ukiruhusu nafsi yako ikutawale itakupeleka AKHERA. Hakuna kitu kinaitwa shetani kukuongoza kwenye kufanya mambo mabaya. Nafsi yako yenye wingi wa tamaa, kutoridhika ndiyo inayowapelekea watu kuwa hivyo. Imagine unatoka nyumbani unamuaga mumeo vizuri as if unaenda kuleta mambo mazuri kumbe unaenda kufanya uzinzi.
Mungu atuokoe na roho hizi za kishetani!
HOFU ya Mungu itawale zaidi. Unajua ukiruhusu nafsi yako ikutawale itakupeleka AKHERA. Hakuna kitu kinaitwa shetani kukuongoza kwenye kufanya mambo mabaya. Nafsi yako yenye wingi wa tamaa, kutoridhika ndiyo inayowapelekea watu kuwa hivyo. Imagine unatoka nyumbani unamuaga mumeo vizuri as if unaenda kuleta mambo mazuri kumbe unaenda kufanya uzinzi.
Mungu atuokoe na roho hizi za kishetani!
Mhhh! haya bosssante Caro
naona jina lako kwa mwisho
liko similar kidogo na langu ..
Mhhh! haya boss
Wanaume wachache sana ni kubanana tu mpaka tukome! sijui tubaneje tusiibiane, naona kama haiwezekani