kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Uvccm hawana hoja zaidi ya kumsema mbowe tu. Tangu lini adui yako akakupa ushauri postive??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana wana CCM wanaijua katiba ya CHADEMA kuliko wana CHADEMA wenyewe. Wameikomalia system ya CHADEMA wakati kwao wanaelewa watu wagombee ubunge na udiwani Masala machache baada ya kujiunga na CCM hilohawalioni kabisakwa manufaa ya JF na wanaccm wenzio unaweza kuweka hapa kifungu ambacho Mbowe amekivunja ?
Chadema haiwezi shika dolahatunywi sumu hatujiui mbowe mbele kwa mbele. in capt kombe voice
lumumba mtaisoma namba mbowe habanduki mpaka chadema ishike dola.
Dola Ya Kimarekani Au?Chadema haiwezi shika dola
Kama ni chama ambacho kipo marekani basi ndio hukoDola Ya Kimarekani Au?
Chama chochote Kikuu cha Upinzani duniani kina uwezo wa kushika dola. Tofauti ni muda tuu.Kama ni chama ambacho kipo marekani basi ndio huko
Unakosea kufuta kosa kwa kosa jingineM/kiti wa ccm siyo dikteta??
In a Democratic society the power belongs to the people.Democrsia ya kweli ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa na si democrasia ya kujali tumbo.siasa safi na uongozi bora huzalisha taifa lenye uchumi imara.Democracy
Cdm kubadilisha katiba ili mwenyekiti awe wa milele sio democracy
Kupitisha mgombea urais kwa kura za ndioooooooo sio democracy.
Kupingana na mwenyekiti unafukuzwa sio democracy.
Kuwa na wafuasi ambao hawawezi kufikiri nje ya fikra za mwenyekiti hiyo sio democracy.
Kukataza/kuzuia mikutano ya kisiasa sio democracy.
Kuhisi peke yako ndio mwenye akili sio democracy.
Kutosimamia sheria sio democracy.
Kutumia cheti cha MTU ni kuvunja sheria.
Kujihisi wewe ni mtoto wa mfalme wakati sio kweli hiyo sio democracy.
Kujifanya hupangiwi sio democracy.
Ukiwa njaa huwezi kupractice democracy(kila wakati utawaza tumbo lako )
Ukiangalia deep down lipo tatizo.Siyo jambo baya kwa kiongozi anayependwa na wale anaowaongoza kukaa madarakani hata kwa maisha ilimradi tu katiba husika inafuatwa.
Tumeshuhudia Mwenyekiti wa Chadema akikaribia kutimiza miaka 20 sasa madarakani na kwa kuwa Chadema wanajinasibu kama chama cha demokrasia, ndio nauliza hii ndio demokrasia au udikteta?
Naelewa huku CCM kuna wabunge wako mjengoni kwa zaidi ya miaka 30 lakini hiki ni chama cha mapinduzi ndio maana swali langu nimelielekeza kwa chama cha demokrasia.
Nitashukuru nikijibiwa!
Kwani nani kasema Mbowe ni mbaya?!!Nitaanza kuamini Mbowe mbaya akianzwa kupingwa na WanaChadema walio wengi. Ila nyuzi kama hizi za vijana wa Lumumba zinafanya niamini Mbowe ni kiongozi bora sana kupata kutokea katika historia ya upinzani nchi hii.
hebu waambie hao... mtu anaonyang'anya korosho za watu huko eti kisa hawajaonesha mashamba hawamuiti dikteta.... wajinga sana hawa nyoka wa kijani.... hovyo kabisa.Kukaa Miaka Mingi Madarakani Si Udikteta. Inaonekana Hufahamu Maana Ya Dictator.
Kiongozi Anaweza Akakaa Wiki Tu Madarakani Na Akawa Dictator Kutokana Na Jinsi Anavyoongoza Kwa Mabavu Bila Kufuata Misingi Ya Katiba.
Sifahamu mkuu ndio maana ya kuuliza!Kukaa Miaka Mingi Madarakani Si Udikteta. Inaonekana Hufahamu Maana Ya Dictator.
Kiongozi Anaweza Akakaa Wiki Tu Madarakani Na Akawa Dictator Kutokana Na Jinsi Anavyoongoza Kwa Mabavu Bila Kufuata Misingi Ya Katiba.
Chama cha siasa kukaa madarakani miaka 50 kwa ujaujanja, ulaghai, wizi ubabe ni demokrasia au udikiteta???Siyo jambo baya kwa kiongozi anayependwa na wale anaowaongoza kukaa madarakani hata kwa maisha ilimradi tu katiba husika inafuatwa.
Tumeshuhudia Mwenyekiti wa Chadema akikaribia kutimiza miaka 20 sasa madarakani na kwa kuwa Chadema wanajinasibu kama chama cha demokrasia, ndio nauliza hii ndio demokrasia au udikteta?
Naelewa huku CCM kuna wabunge wako mjengoni kwa zaidi ya miaka 30 lakini hiki ni chama cha mapinduzi ndio maana swali langu nimelielekeza kwa chama cha demokrasia.
Nitashukuru nikijibiwa!