Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unaposema kinyemela unamaanisha nini? Kama ni batili mahakama na ofisi ya msajiri kazi yao ni ipi?Rejea katiba ya mwaka 2004, iliyochakachuliwa kinyemela 2006 na kuondoa ukomo utawala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema kinyemela unamaanisha nini? Kama ni batili mahakama na ofisi ya msajiri kazi yao ni ipi?Rejea katiba ya mwaka 2004, iliyochakachuliwa kinyemela 2006 na kuondoa ukomo utawala.
Wewe uko upande gani? Hebu chaguwa upande kwanza.Wanaona tu upande mmoja ila wao hawataki kabisa kukosolewa ama kusahihishwa kwa makosa yaleyale wanayoyapigia kelele.!
Zitto Kabwe ndio aliwajaza ujinga huu baada ya kushindwa hila zake na kufukuzwa Chadema akaanzisha chama na kujiwekea cheo cha Ayattolah.wengine hapa siyo wana Chadema wala CCM ila tunafuatilia kwa karibu haya yanayoendelea.
miaka yote hii nimekuwa nikiaminishwa kuwa Chadema wanao utaratibu wa kimchakato wa kuchagua viongozi wao wa juu.
kwa kauli yako hii inaonyesha kuwa kumbe si kweli. inaonekana kama mtu akiutaka say uenyekiti anasema "mimi mwenyekiti" halafu anakuwa mwenyekiti, nk.
yaani hapa unatupa picha kuwa akina Mbowe, Safari, Mnyika, Mdee, nk huwa wanajiwekaga wenyewe kwenye hivyo vyeo walivyo navyo chamani. ama?
embu tutoe tongotongo kidogo mkuu.
Ili Chadema isife leo kiboko yao ccm ndio huyo Mbowe, hayo ndio maamuzi ya wenye Chadema yao.huwa wanajiwekaga na wanatafuta watu wachache ku justify
museven Uganda anafanya hivyo hivyo
ifike wakati hawa tunaowapenda sana tuwakosoe ni kwa faida ya taifa
CDM ikifa leo sio afya kwa taifa
Si mnataka Tubadilishe Jemedari Katikati ya Vita Nzito ,Vp Tukiwaletea jemedari John Heche??Jenga hoja mkuu...
Na Chadema kama wspo serious John Heche aandaliwe sasa kuja kuwa mrithi wa Mbowe maana tumeona shughuri yake Bavicha alipoondoka kaondoka na Bavicha yake.Si mnataka Tubadilishe Jemedari Katikati ya Vita Nzito ,Vp Tukiwaletea jemedari John Heche??
Mkuu nayakubali Mawazo yako na Nimeyaheshimu Kwa Sasa mjini ni Vigumu kujua Kondoo la Lumumba ni Lipi na Kamanda Ni yupo Hivyo Ni bora Tutembee na Kamanda Heche Mpaka atakapoachiwa Kijiti Inshallah maana Shughuli yake Tangu akiwa Bavicha Tuliiona.Na Chadema kama wspo serious John Heche aandaliwe sasa kuja kuwa mrithi wa Mbowe maana tumeona shughuri yake Bavicha alipoondoka kaondoka na Bavicha yake.
Imagine mwenyekiti wa Taifa Bavicha leo ananunuliwa na ccm, hiki ndicho wamekishindwa kwa Mbowe ndio maana wanamtaka mtu wanaeweza kumnunuwa na akawa ni agent wao kama ilivyo kwenye vyama vingine vyote wenyeviti wote ni mawakala wa ccm.
Hivi Putin alishawahi kuwa prime minister eeh mbowe katibu mkuu heche mwenyekitiNa Chadema kama wspo serious John Heche aandaliwe sasa kuja kuwa mrithi wa Mbowe maana tumeona shughuri yake Bavicha alipoondoka kaondoka na Bavicha yake.
Imagine mwenyekiti wa Taifa Bavicha leo ananunuliwa na ccm, hiki ndicho wamekishindwa kwa Mbowe ndio maana wanamtaka mtu wanaeweza kumnunuwa na akawa ni agent wao kama ilivyo kwenye vyama vingine vyote wenyeviti wote ni mawakala wa ccm.
Siyo CCM tu hata Mungu anataka hivyo kwa sababu muda wake umekwisha na anapaswa kupisha wengine kama yeye walivyompisha pia, vinginevyo afute neno ,,demokrasia” kwenye chadema.
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.
Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapao ndipo usomi wenu unakuwa wa hovyo na wa kutia mashaka.
Pauline Gekul, Mwita waitara , Katambi, Zito Kabwe , Kitila Mkumbo ,Chacha Wangwe wote wamefukuzwa Chadema na kupata matatizo kwa kutaka Mbowe aondoke madarakani walikuwa ni ccm?
Ni ccm yupi anayetaka mbowe aondoke madarakani?
Bavichaa mmebuni mbinu ya kumlinda Mbowe kwa kujificha kwenye kivuli cha ccm??
Dah le Mutuzzz haingii hapaNakuona bablai kwa hali ya buku7 lazma ukondeView attachment 898718
Mungu yupi?? aliyeletwa na wamishenari au walioabudiwa na mababu zetuSiyo CCM tu hata Mungu anataka hivyo kwa sababu muda wake umekwisha na anapaswa kupisha wengine kama yeye walivyompisha pia, vinginevyo afute neno ,,demokrasia” kwenye chadema.
Very soon atafikishwa mahakamani kwa wizi wa ruzukuNimefuatilia maandiko mbalimbali kuhusu ukabila, udini na Sasa ruzuku ya chama Chadema na kubaini upo umuhimu wa kuwa na kiongoz imara ndipo uwe na chama imara.
Ni ajabu kwa viongozi wa nchi hii kuanzia DC hadi katibu mwenezi na uvccm kutaka kuamisha Watanzania kwamba mwenyekiti wa Chadema ni mwizi ila hawana uwezo wa kumpeleka kwa pilato.
Nimefuatilia kama Mbowe Ana Kinga ya kushtakiwa nakubaini hana Kinga na ndio maana hadi Sasa anaudhuria kisutu toka mwaka Jana kwa kesi ya Aqwilina. Kama hana kinga na ni mwizi wa ruzuku kwanini TAKUKURU hawajamfikisha mahakamani?
Kama Mbowe ni mbaya kwa wana CCM na siyo mwenyekiti wao wanaumia nini akiwaongoza wana Chadema?Mbona hakuna anayesema Mbowe akiomba kujiunga CCM hatopokelewa? Kwann ukiwa upinzani ndo unakuwa mbovu ukiingia CCM tunaaminishwa wewe ni mwema na unapewa hadi uongozi?
Hii inanifanya niamini kuwa kamanda Mbowe ni mwiba kwa CCM na hata wakihama wote kwenda Chadema na akabaki mwenyewe bado CCM hawatolala maana wanajua tatizo ni uimara wa mwenyekiti, wabunge hata wakiondoka wote Leo ila wakabaki watu imara bado Chadema itabaki kuwepo.
Mbowe hata wakikuacha wote usitetereke ipo siku upande wa pili utawachuja na watakuja kukupigia magoti .Kama walimtema katibu mwenezi watashindwa nn kuwatenga hao wasaka tonge?