Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Ccm. N
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapao ndipo usomi wenu unakuwa wa hovyo na wa kutia mashaka.

Pauline Gekul, Mwita waitara , Katambi, Zito Kabwe , Kitila Mkumbo ,Chacha Wangwe wote wamefukuzwa Chadema na kupata matatizo kwa kutaka Mbowe aondoke madarakani walikuwa ni ccm?
Ni ccm yupi anayetaka mbowe aondoke madarakani?

Bavichaa mmebuni mbinu ya kumlinda Mbowe kwa kujificha kwenye kivuli cha ccm??
Hakuna kitu kpya kwenye siasa kama livyo ccm kuwafukuza masauni, Stella msambatavangu, Sofia, madabida no hivyo hivyo kwa CDM
 
Siyo CCM tu hata Mungu anataka hivyo kwa sababu muda wake umekwisha na anapaswa kupisha wengine kama yeye walivyompisha pia, vinginevyo afute neno ,,demokrasia” kwenye chadema.
Sijawahi kuona ukitoa povu ccm itoke madarakani maana tangu uhuru mnaendele kuwa mdarakani na kufukarisha Nchi na wajinga
 
Ujinga ni kumtetea Mbowe, wakati mnajua kabisa kavunja katiba ya Chama kwa kupitiliza ukomo wa Uongozi.

Chadema sio Saccos kwamba mtu anaweza kuendesha maisha yake yote, Chadema ni Chama cha wananchi kinachoendeshwa na kodi za wananchi....hivyo sheria lazima zifuatwe kwenye uendeshaji wake.

Naona wafuasi wa Mbowe mnavyohangaika kumpa uhalali boss wenu kuendelea kutafuna ruzuku.

Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.
Vipi kuhusu ccm iliyomamlakani inayolindwa kwa Bunduki hii kwako haiwezi kuwa tatizo?? ila Mbowe?Slaa alikuahidi uwaziri mkuu nini
 
Ujinga ni kumtetea Mbowe, wakati mnajua kabisa kavunja katiba ya Chama kwa kupitiliza ukomo wa Uongozi.

Chadema sio Saccos kwamba mtu anaweza kuendesha maisha yake yote, Chadema ni Chama cha wananchi kinachoendeshwa na kodi za wananchi....hivyo sheria lazima zifuatwe kwenye uendeshaji wake.

Naona wafuasi wa Mbowe mnavyohangaika kumpa uhalali boss wenu kuendelea kutafuna ruzuku.

Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.
kwa manufaa ya JF na wanaccm wenzio unaweza kuweka hapa kifungu ambacho Mbowe amekivunja ?
 
Hata Magufuli ukitaka akuone Mzalendo sifia unga mkono juhudi zake, hapo atakuona mzalendo wa kweli.

Vivyo hivyo na Chadema ukitaka uonekane mwerevu na shujaa msifie,mtetee Mbowe kwa kila hali hapo utaonekana kamanda wa ukweli.

Magufuli ukimhoji utaitwa sio mzalendo ama sio raia, Mbowe ukimkosoa ama kuhoji utaitwa msaliti ama muasi.

Watanzania tumejaa unafiki sana
Usimfananishe mbowe na vitu vya kijinga
 
Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.

Mmeharibu mal izake ili mumshushe bei lakini wapi.........

Tafteni bei yake, mwache kusumbuasumbua watu humu ndani.............
 
Tanu- Ccm 1961-2018, mbona hakuna anayepiga kelele ccm iachie madaraka, kidemokrasia, Mbowe usiwasikilize hao wahuni wechapa kazi, hakuna mgogoro wowote cdm unakuzwa na CCm mitandaoni tu.
 
Habari zenu wana jamvi. Mara nyingi nimefuatilia threads zinazomshinikiza Mbowe aachie ngazi. Tena hoja zinazotolewa ni za kitoto tu. Halafu nikifuatilia watoa threads naona ni wa mlengo wa kulia. Swali langu ni je, kama kweli kuachia ngazi kwa Mbowe kutakuwa na faida kwa CDM ni kwanini shinikizo litoke without na sio within? Tangu lini CCM ikaitakia mema CDM? najiuliza tu.
Swali lako ni jibu tosha
 
huwa wanajiwekaga na wanatafuta watu wachache ku justify

museven Uganda anafanya hivyo hivyo

ifike wakati hawa tunaowapenda sana tuwakosoe ni kwa faida ya taifa

CDM ikifa leo sio afya kwa taifa
tia nyama ndugu.

"wanatafuta watu wachache ku justify" - how exactly? nani anamtafuta nani? uki specify majina na ushahidi (hata wa mazingira) itafaa zaidi. km.... Mbowe alijiweka mwenyewe na aliwatumia x,y,z ku jusify (kivipi, wapi, ushahidi).
 
Ujinga ni kumtetea Mbowe, wakati mnajua kabisa kavunja katiba ya Chama kwa kupitiliza ukomo wa Uongozi.

Chadema sio Saccos kwamba mtu anaweza kuendesha maisha yake yote, Chadema ni Chama cha wananchi kinachoendeshwa na kodi za wananchi....hivyo sheria lazima zifuatwe kwenye uendeshaji wake.

Naona wafuasi wa Mbowe mnavyohangaika kumpa uhalali boss wenu kuendelea kutafuna ruzuku.

Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.
Ni katiba ipi sliyoivunja Mbowe, tunaomba utuwekee hicho kifungu cha katiba kama ushahidi.
 
Na hao wanaokutana na kutaka Mbowe aachie Madaraka wana kosa gani.....kwa nini asiruhusu demokrasia yeye achukue na wengine wachukue fomu kura zipigwe wanachama ndio waamue.?
Ccm Magufuli aligombea na nani uenyekiti? Wape ushauri huu ccm wenzako.
 
Siyo CCM tu hata Mungu anataka hivyo kwa sababu muda wake umekwisha na anapaswa kupisha wengine kama yeye walivyompisha pia, vinginevyo afute neno ,,demokrasia” kwenye chadema.
Acha kumshirikisha Mungu na upumbavu wako
 
Basi tusilalamike siku ccm wakipeleka hoja bungeni kuwa Magufuli atawale bila ukomo.
Chuki zako zinazidi kukujaza ujinga, hajuna muswada wowote unaoweza kupelekwa bungeni kwa jina la Magufuli acha utoto.

Nyerere alitawala bila kikomo na aliachia mwenyewe kwa hiyari yake madaraka, msidhani kila mtu ni mjinga na hatuelewi ukweli wa mambo.

Hebu washaurini kina Dovutwa kwanza wawapishe watu wengine na hata uchaguzi sijui huwa wanafanya lini wala vikao huwa vinafanyika wapi.
 
katiba ambayo iliwekwa ku mfavor mbowe?

sawa na katiba za kitaifa za watu kuhama vyama, kujivua ubunge, kutumia hela tena kurudia chaguzi.Katiba zinazowapa ma dc power, katiba za NEC za kuhusu chaguzi

ebu acha ujinga na mahaba, katiba za waafrika hawa wawe kwenye vyama, serikalini n.k haziko sahihi

mkuu kwa mahaba umegeuka kama CCM na serikali yake eti "katiba imevunjwa wapi" aibu

kuna vitu unakaa kimya tu
Hii ni katiba halali au haram? Ofisi ya msajili inaitambuwa au haiitambui katiba hii?

Katiba ya Chadema inatungwa na kupitishwa na Mbowe au ni chombo gani kinachofanya kazi hii?
 
Back
Top Bottom