Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Lisu kapuuzwa na wafuasi wake baada ya kudis hotuba ya mama,kwasasa Lisu hana jipya habari ya mjini ni kipenzi cha watanzania mama SASHA.
Mama kawakata ngebe Nyumbu na viongozi wenu.
Ndo maana huwa nasemaga kuwa Mataga ni Mazezeta

Mama anarudisha Demokrasia halafu tunaingia ulingoni
 
Hawa ndo mashoga wa Ufipa.
Screenshot_20210506-232443.jpg
 
Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimarisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
Kila wakati Mbowe , Mbowe, Mbowe. Amekutia mimba ya uchichoroni ?!. Yaani unakera Jambo kila siku unaianzishia thread [emoji107].

Ushauri wa bure, kipindi cha uchaguzi ndani ya Cdm kinakuja. Kama vipi, jipime unaweza kupata kama unaona Mbowe hafai. Lakini hili la kila siku jambo moja !! Taga unakera
 
Mwakibolwa hawezi hii kitu ya wenyewe kwa wenyewe jeshi pia litagawanyika wewe angalia Nchi zilizoanza kunyukana
Jeshi gani linagawanyika,hivi ukumbuki kampeni ya majeshi yote kupanda miti nchi nzima baada ya Nyumbu kutangaza maandamano?
 
Jeshi gani linagawanyika,hivi ukumbuki kampeni ya majeshi yote kupanda miti nchi nzima baada ya Nyumbu kutangaza maandamano?
Kumbuka Watu wanazidi kuwachoka siku tukiamua kunyukana hakuna cha mswalie mtume.
 
Kumbuka Watu wanazidi kuwachoka siku tukiamua kunyukana hakuna cha mswalie mtume.
Mtanyukana na nani nyinyi mmelegea sana,wanawake 19 wanawashinda mtawezana na wakina Mwakibolwa?
 
Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimarisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
akamatwe na afilisiwe kabisa ngoja nimuulize kwanza CAG maana we we mtoa taarfa sikuamini.
 
Back
Top Bottom