Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Lisu kapuuzwa na wafuasi wake baada ya kudis hotuba ya mama,kwasasa Lisu hana jipya habari ya mjini ni kipenzi cha watanzania mama SASHA.
Mama kawakata ngebe Nyumbu na viongozi wenu.
Ndo maana huwa nasemaga kuwa Mataga ni Mazezeta

Mama anarudisha Demokrasia halafu tunaingia ulingoni
 
Subiri meli kituo cha mwendokasi,sawa Nyumbu,endelea kusubiri hapohapo?
Mama Samia kamua mama.
Mkizuia Demokrasia mjue tutaanzisha Harakati za Msituni za kuwang'oa Madarani
 
Kila wakati Mbowe , Mbowe, Mbowe. Amekutia mimba ya uchichoroni ?!. Yaani unakera Jambo kila siku unaianzishia thread [emoji107].

Ushauri wa bure, kipindi cha uchaguzi ndani ya Cdm kinakuja. Kama vipi, jipime unaweza kupata kama unaona Mbowe hafai. Lakini hili la kila siku jambo moja !! Taga unakera
 
Mwakibolwa hawezi hii kitu ya wenyewe kwa wenyewe jeshi pia litagawanyika wewe angalia Nchi zilizoanza kunyukana
Jeshi gani linagawanyika,hivi ukumbuki kampeni ya majeshi yote kupanda miti nchi nzima baada ya Nyumbu kutangaza maandamano?
 
Jeshi gani linagawanyika,hivi ukumbuki kampeni ya majeshi yote kupanda miti nchi nzima baada ya Nyumbu kutangaza maandamano?
Kumbuka Watu wanazidi kuwachoka siku tukiamua kunyukana hakuna cha mswalie mtume.
 
Kumbuka Watu wanazidi kuwachoka siku tukiamua kunyukana hakuna cha mswalie mtume.
Mtanyukana na nani nyinyi mmelegea sana,wanawake 19 wanawashinda mtawezana na wakina Mwakibolwa?
 
akamatwe na afilisiwe kabisa ngoja nimuulize kwanza CAG maana we we mtoa taarfa sikuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…