Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Waulizeni wavaa kobazi wa Mkulanga watawapa taarifa ya habari.
Hiyo ni tofauti hiyo wanataka Dola ya Kiislamu haitaugwa mkono ila ya kwetu ni tunadai Demokrasia kamili iyaunhwa mkono na Watanzania mamilioni kwa mamilioni
 

Mngeanza na lipumba mkuu aliyekuwa mwenyekiti tangia 1994,then mkaja kwa mbatia....Kamanda wa Anga muacheni nyie Thithiemu.
 
Mama Samia kaza kamba usilegeze mataga na sukuma gang wame changanyikiwa
 
Mkuu naona unakamua Chuma halafu unatarajia maji...

Kaa kwa kutulia mkuu,,, tafuta pesa na ule maisha...
 
Hiyo ni tofauti hiyo wanataka Dola ya Kiislamu haitaugwa mkono ila ya kwetu ni tunadai Demokrasia kamili iyaunhwa mkono na Watanzania mamilioni kwa mamilioni
Wewe ndo unaona tofauti ila wenye jukumu la kulinda mipaka ya nchi na raia awaoni tofauti wote ni wavuruga amani kwa mtutu.
 
Wewe ndo unaona tofauti ila wenye jukumu la kulinda mipaka ya nchi na raia awaoni tofauti wote ni wavuruga amani kwa mtutu.
CCM ikiendelea na ubabe wa kuzuia Demokrasia Nchi itaingia kwenye kunyukana wenyewe kwa wenyewe na usiangalie mbali hapahapa Afrika Ivory Coast
 
CCM ikiendelea na ubabe wa kuzuia Demokrasia Nchi itaingia kwenye kunyukana wenyewe kwa wenyewe na usiangalie mbali hapahapa Afrika Ivory Coast
Demokrasia kwanza ianzie kwenu,inakuwaje chama kinakua na mwenyekiti wa maisha,anachingasha fedha wabunge kisha anaweka kibindoni?
 
We jaluo usie na akili kaa kimya. Mimi sio bwege kujipendekeza kwa mtu anayeomnyonya wat

Ulishaona chama chetu kina uchaguzi halali? Acha upuuzi
 
Mbona kama haya yapo CCM pia; mfano, kupingana na mwenyekiti ...
 
Mwenyekiti wa chama cha Demoghasia na maandamano!

Saccoss ya 'Bwana Makengeza' imebaki na mbunge mmoja lakini amedinda tu hataki kung'atuka!

Ana miaka 30 ndani ya saccoss!
Ndiyo maana kila kukicha unatiwa adabu
 
Watanzania wengi hawana imani na Mbowe!!??
Ebu tuweke rekodi Sawa,chama Cha wanyonge na kinachopendwa sana mpaka kupewa kura asilimia 99,si CCM?sasa hao "watanzania wengi"wasio na imani na Chadema ni kina nani?
Nccr,cuf,Top,vyote hivi vilikufa kwa figisu za ccm,sasa hawa Ccm inawauma sana wanapoona wameshindwa kuiua Chadema,
Chadema ni zaidi ya chama,ni idea,philosophy ambayo ipo mioyoni mwa watu.
Kama Mbowe ni fisadi,kwanini hakamatwi na PCCB na afunguliwe mashitaka,wale mnaopiga kelele kuhusu ufisadi,anzeni na ufisadi uliopo ccm na serikalini.
Anzeni na wale vigogo wa Tasac,waliopiga billioni 23 kwa kukaa vikao tu!!
 
Majibu ni mepesi sana. Ukatili wa Magufuli ndio ulioifikisha nchi hapa ilipo. Lowasa alikuja CDM na akavuna kura zake nyingi achilia mbali zilizoibiwa. Walipata wabunge zaidi ya 70. Kama sio ukatili wa Pombe, leo mambo yangekuwa mengine. Sio Lowasa wala awaye yote aliyetufikisha hapa tulipo zaidi ya Pombe. Hizo nyingine ni "brabra sio blabla" tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…