Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahajahahaGubu la wifi hilo, ccm, bwana, wanamambo.
Aaah mkuu heshim elimu yako hata kama ya la nne yaani katiba ya nchi unaifananisha na takataka za uchama...Kama Chadema wanaona ni sawa kuongozwa na mwenyekiti huyohuyo miaka nenda rudi wanaonaje ajabu JPM akiongoza miaka saba saba.
Msingi wa mabadiliko unaanza na wewe mwenyewe , Kama wewe huwezi kufanya mabadiliko huwezi kuwafanya Wengine kubadilika. Mbowe asifikiri wananchi kuichukia CCM ndio kutafanya CDM iingie madarakani.Aaah mkuu heshim elimu yako hata kama ya la nne yaani katiba ya nchi unaifananisha na takataka za uchama...
Nashukuru tu kuadmit kua ccm ni chafu... lakini uchafu ni uchafu.. ukisema hivyo basi Act ndio wanatakiwa wakabidhiwe nchi, kwa sababu ya impossibility unaweza jibu positively kabisa..?Msingi wa mabadiliko unaanza na wewe mwenyewe , Kama wewe huwezi kufanya mabadiliko huwezi kuwafanya Wengine kubadilika. Mbowe asifikiri wananchi kuichukia CCM ndio kutafanya CDM iingie madarakani.
CCM ni Chafu lakini Chadema ni chafu zaidi
Avater yako inanipa moyo kua ni mpambanaji na mwanaharakati.. 2pac bob marlley nawaheshimu sana hata kwa picha tu.CCM pumzi imekata-Kingunge
Chadema kijitathmini na kujisahihisha kabla hakijafikiri kukabidhiwa nchiNashukuru tu kuadmit kua ccm ni chafu... lakini uchafu ni uchafu.. ukisema hivyo basi Act ndio wanatakiwa wakabidhiwe nchi, kwa sababu ya impossibility unaweza jibu positively kabisa..?
Katika mazingira haya unategemea Mkiti afanye nini? He is doing the best he can, so you play your part.Mie nna swali moja tu kwako mkuu, kwa siasa za sasa na mambo yanayoendelea, unaona CDM inazidi kuimarika au inaporomoka chini ya mwenyekiti wake?
Kafanya mengi mazuri sana tu na amekitoa chama mbali, lakini kwa ustawi wa chama, anaweza kubaki kuwa mshauri wakajaribu mtu mwenye mbinu mpya.
Nasikitika sana umetolea mfano CDM na vyama vyenye upinzani mfu. Unamaanisha hivyo vyama vyote vipo kundi moja?
Katika mazingira haya unategemea Mkiti afanye nini? He is doing his best he can, so you play your part.
Yatasemwa mengi, yatatengenezwa mengi, itatumika gharama kubwa lkn agenda iliyo mbele yao ni moja tu :-
1. Bila Mbowe kuondoka Chadema hatutafanikiwa kuusambaratisha upinzani
Mbowe ni kikwazo, mkakati uliopo sasa ni kumshambulia kwa kila namna ili kurahisisha njia ya kuusambaratisha upinzani. Tumeshuhudia Humphrey Polepole anaweza kuulizwa swali la maji akajibu kwa kumshambulia Mbowe, ccm imewekeza pesa nyingi kwenye media,kwa vijana ili wafanye kazi moja tu kumchafua Mbowe, ili uujue ukweli huu jiulize maswali haya :-
1. Lipumba kalazimishwa kurudishwa na system ili awe m/kiti, Lipumba ni m/kiti wa Cuf toka 1995, lkn hakuna kelele dhidi yake, kawekwa pale kimkakati kuivuruga Cuf na upinzani.
2. Mrema ameanza NCCR kuwa m/kiti 1995, alipoisambaratisha akaja TLP 2000 kuwa m/kit mpaka leo, lkn huwezi kuwasikia ccm wakimsakama kwa kuwa m/kiti kwa muda mrefu.
3. John Cheyo ni m/kiti toka UDP imeanzishwa mpaka leo na huoni vijana wa ccm wakimsonga kwanini ni m/kiti wa muda mrefu.
4. Fahmi Dovutwa hata uchaguzi wa chama haufanyiki lkn hakuna anayemuongelea.
CCM imefanya kila inaloweza kuiingia Chadema na kuisambaratisha lkn imefeli, mifumo yote ya system imetumika na kwa gharama kubwa lkn imefeli, asikuambie mtu Mbowe ni jemedari haswa, wamevunja bilicanas, wamevuruga shamba, wampandikiza kodi feki aishi hotel, wamefungia gazeti lake, wamenunua wabunge, madiwani, wenyeviti, wanachama bado Chadema iko imara chini ya Mbowe, achana na propaganda za chakubanga na ccm, wamekosa njia ya kuingia Chadema, kwahiyo Mbowe ni kiongozi sahihi kwa wakati huu. Raila Odinga uliwahi kumuona kaondoka ODM?