Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Wakikujibu uni-tag mkuu
 
Naona na wewe umekuwa mjinga kiasi cha kushindwa kutuonesha mahali palipovunjwa katiba ya Chadema?
 
Na mm najiuliza wewe mwana CCM inakuuma nini Mbowe kuwa mwenyekiti?
 
Chuki zako binafsi kwa Mbowe zimekufanya kuwa mlemavu wa fikra hadi unashindwa kujenga hoja zenye mantiki kama wale Lumumba Fc!!
 
Vipi dada uko kwenye siku zako,fanya umcheki mbowe akuzalishe tu ndio utatulia
 
Naona umeongezea vimistari?
 
Siyo CCM tu hata Mungu anataka hivyo kwa sababu muda wake umekwisha na anapaswa kupisha wengine kama yeye walivyompisha pia, vinginevyo afute neno ,,demokrasia” kwenye chadema.
Siku hizi we ni msemaji wa Mungu eti?
 
Hivi kama wanachama wanakutana na kukubali kuendelea kumchagua mbowe awe mwenyekiti kosa liko wapi?
 
Unajua katiba ya CDM inasemaje?Kama kitu hujui funga domo lako!
 
Hivi kama wanachama wanakutana na kukubali kuendelea kumchagua mbowe awe mwenyekiti kosa liko wapi?
Na hao wanaokutana na kutaka Mbowe aachie Madaraka wana kosa gani.....kwa nini asiruhusu demokrasia yeye achukue na wengine wachukue fomu kura zipigwe wanachama ndio waamue.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…