Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Mfuasi wa Dr.Slaa!!
 
Yeyote anaesema ukweli ni chuki binafsi....mnatofauti gani na Magufuli tunaemlalamikia kila siku kuwa anachuki na wanaomkosoa....Tuache unafiki.
Chuki zako binafsi kwa Mbowe zimekufanya kuwa mlemavu wa fikra hadi unashindwa kujenga hoja zenye mantiki kama wale Lumumba Fc!!
 
Angalieni kuweni makini atakuja heche hapa mtamani arudi mbowe shauri yenu
Waambie hawa mbulula! Mbowe pamoja na uimara wake mkuu bado ni mnyenyekevu hata anapoonewa. Kiasi Fulani ndani ya Chadema wanamuona kuwa pamoja na kuwa na msimamo usioyumba lakini dini imemkaa sana hivyo mambo ya mbwai na iwe mbwai kwake hayataki vinginevyo pengine CCM ingekuwa out.
Hivi wanamjua yule Mkurya Heche? waniambie nani ambaye toka Jiwe ameingia madarakani ameweza kuambiwa hadharani maneno aliyojibu Heche kule Tarime hadi akasema mnyang'anye mic? Haki ya nani Heche akiingia madarakani CCM watamtafuta Mbowe wamlambe makalio arudi.
 
Yeyote anaesema ukweli ni chuki binafsi....mnatofauti gani na Magufuli tunaemlalamikia kila siku kuwa anachuki na wanaomkosoa....Tuache unafiki.
Hebu tuambie basi katiba ya Chadema imevunjwa wapi kwa Mbowe kuwa madarakani leo hii? mbona huwa nakuona kama mweledi lakini sasa unachotwa na ka upepo Fulani hivi?
 
Hakuna uko kwenye nafasi ya uenyekiti,mtu yeyote anaweza gombea bila kikomo!Katiba ndio inasema hivyo,hutaki lala mbele!
Basi tusilalamike siku ccm wakipeleka hoja bungeni kuwa Magufuli atawale bila ukomo.
 

Umenena mkuu
 
Chadema sio Saccos kwamba mtu anaweza kuendesha maisha yake yote, Chadema ni Chama cha wananchi kinachoendeshwa na kodi za wananchi....hivyo sheria lazima zifuatwe kwenye uendeshaji wake.

.
Samahani mkuu, naona umeamua kuzikejeli SACCOS, kwa taarifa yako kuna sheria ya ushirika ya mwaka 2013 pamoja na kanuni zake zinaongelea muda wa Uongozi.
Usipotoshe kwa kusema kuwa viongozi wa Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo (SACCOs) huwa wanadumu milele
 
Hebu tuambie basi katiba ya Chadema imevunjwa wapi kwa Mbowe kuwa madarakani leo hii? mbona huwa nakuona kama mweledi lakini sasa unachotwa na ka upepo Fulani hivi?
Hata Magufuli ukitaka akuone Mzalendo sifia unga mkono juhudi zake, hapo atakuona mzalendo wa kweli.

Vivyo hivyo na Chadema ukitaka uonekane mwerevu na shujaa msifie,mtetee Mbowe kwa kila hali hapo utaonekana kamanda wa ukweli.

Magufuli ukimhoji utaitwa sio mzalendo ama sio raia, Mbowe ukimkosoa ama kuhoji utaitwa msaliti ama muasi.

Watanzania tumejaa unafiki sana
 
Ebu tuwekee hapa kifungu cha katiba ya Chadema unayosema imevunjwa na Mbowe ili kuhalalisha mantiki ya hoja yako
Yeyote anaesema ukweli ni chuki binafsi....mnatofauti gani na Magufuli tunaemlalamikia kila siku kuwa anachuki na wanaomkosoa....Tuache unafiki.
 
Asante kwa kunisahihisha.
 
mkuu tatizo kubwa la chadema ni chadema yenyewe. ccm wanatumia mapungufu hayo kushadidia. chadema waonyeshe misingi ya demokrasia toka ndani na sio nje. kupingwa kwenye uongozi ni sehemu ya demokrasia. hivi utatofautishaje ccm na chadema kwa misingi ya demokrasi?
 

we fala

waoandika ni wanachadema

kuna uasi ndani ya chadema dhidi ya mwenyekiti,watu hawataki kuongea directly wanatumia kivuli cha ccm

hivi kwa akili zako ndogo kabisa, mbowe anamtisha nini JPM au CCM???


sasa mnapopigana na kuumana mnakimbilia CCM, mbowe anawaambia wenye akili ndogo na nyumbu kama wewe ni "CCM hao"

kua
 
Unaambiwa uonesha mahali katiba ya Chadema imevunjwa unaanza tintalila za hapa na pale!! Hovyo sana wewe mlevi wa siasa za ushabiki
 
Ziko taratibu zinazoendesha taasisi ambazo zimewekwa na hao Wanachadema wenyewe namna ya kujiongoza kama taasisi, hivyo demokrasia ina mipaka yake mkuu, bila kuwa na mipaka ya uhuru wa demokrasia sidhani kama bado itaendelea kuwa na sifa za kuitwa taasisi ya kisiasa
 
Hebu tuambie basi katiba ya Chadema imevunjwa wapi kwa Mbowe kuwa madarakani leo hii? mbona huwa nakuona kama mweledi lakini sasa unachotwa na ka upepo Fulani hivi?

katiba ambayo iliwekwa ku mfavor mbowe?

sawa na katiba za kitaifa za watu kuhama vyama, kujivua ubunge, kutumia hela tena kurudia chaguzi.Katiba zinazowapa ma dc power, katiba za NEC za kuhusu chaguzi

ebu acha ujinga na mahaba, katiba za waafrika hawa wawe kwenye vyama, serikalini n.k haziko sahihi

mkuu kwa mahaba umegeuka kama CCM na serikali yake eti "katiba imevunjwa wapi" aibu

kuna vitu unakaa kimya tu
 
Muulizeni yule mwenyekiti wenu kichaa kwanini alizuia shughuli halali za uendeshaji wa vyama vya siasa zilizopo kwenye katiba ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…