Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Mbowe ataendelea kuiongoza cdm hadi sisi wana cdm tutakavyo ona imetosha lkn siyo nyinyi masisiem kutuamulia
"kiongozi hata Kama ni mzuri mno mda wake ukifika aende" Obama alisema hivi when addressing AU summit n I agree with him
Yes Mbowe ni kiongozi mzuri lakini hana hatimiliki ya kuongoza yeye tu. Niliwashangaa Sana Sana chadema walivyoondoa ukomo wa muda wa mwenyekiti, Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi hili lilishafanywa na Mugabe, kagame n museveni, sasa cdm mtapata wapi legitimacy ya kuwakosoa ccm wakitaka kuextend muda wao madarakani.
ni muda wa kina lema, mdee, mnyika, heche waachwe waongoze chama
 
Kama mlizoea kuwanunua kina lyatonga ili muviue vyama vyao kwa mh Mbowe mmegonga mwamba mkajipange kivingine
 
Ukitaka kutaabika hapa duniani,onesha nia ya kuwa mwenyekiti wa Taifa wa chadema
Zitto alifukuzwa,akasusiwa msiba wa mama yake aliekua mjumbe wa kamati kuu
 
CCM ili mtu awe mwenyekiti wa Taifa anatakiwa afuate hatua zipi?
 
Umeshikwa pabaya kamongo kwi kwi kwiiii ati binadamu hawezi miliki lugha? Ahahahaha huko lumumba uzinzi/zinaa na ushirikina umekula akili zenu makamong!!
Ogopa kutukana na JUHA. Utacheka hadi uvunjike mbavu, Jamani JUHA hiloooo. !!!!
 
Nyerere,Zit to, na wengine uliowataja hawajawahi Kiongozi Chadema kama wenyeviti Wa kudumu. Vyama ulivyovitaja Kamwe hawajawahi kufikiria kuongoza SACCOS kama ya Chadema. Sultan anapatikana Chadema tu
Wewe una msongo na nadhani hujui historia ya nchi. Nyerere alikuwa mwenyekiti wa Tanu na CCM miaka mingapi mpaka tukawa tunaambiwa Zidumu fikra zake? Yawezekana wewe ni mtoto wa jana au kama si hivyo ni limbukeni. Usinijibu sina haja ya kuongea na mtu asiye na uelewa. Ungeenda kwenye google kwanza kuona hawa watu wana muda gani kabla hujanijibu. Kama umesoma hujaelimika na kama umeelimika kiwango chako ni kidogo.
 
Hili jambo huwa silielewi kabisa. Kweli Mbowe kama binadamu ana madhaifu yake, lakini inakuwaje ni CCM ndiyo wanataka kuweka ukomo wa uenyekiti wa Mbowe CHADEMA?

Yaani ni kama Wamarekani waseme ni kwa nini wajerumani wanaendelea kumchagua Angela Merkel kuwa Kansela wao. CCM kuhusu Mwenyekiti wa Taifa hakuna mahali kwenye katiba yao pamewekwa ukomo wa muda, bali wanabadilishana kwa kutegemea "Tamaduni" ya chama hicho na wala si kwa uchaguzi kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho hakuna kugombea nafasi ya mwenyekiti Taifa.

Sasa chama ambacho huwa hakifanyi kabisa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa, kinakuwaje na nguvu ya kimaadili kuwaambia CHADEMA wabadilishe Mwenyekiti wao Taifa? Kwani kwenye Katiba ya CHADEMA kuna kipengele kinakataza mtu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa zaidi ya mara moja?

CCC wanafanya wajibu wao wa kisiasa kuikosoa CHADEMA
CCM wanainanga CHADEMA kwa mapungufu yake hususan yale ambayo wameshindwa kuyatekeleza yakiwa ni sehemu ya matakwa ya KATIBA yao wenyewe. Kwa mapungufu haya wanachallenge utashi wa CHADEMA kutekeleza wanayowaaminisha wapiga kura.
Jiulize kwani CHADEMA kinawauma nini pale wanapowananga CCM wanaposhindwa kulipa 3billions ya michango ya NSSF ya wafanyakazi wao??? Je wafanyakazi hao wakikosa ari na wakaamua kukisaliti chama ni faida kwa nani au hasara kwa nani??
Badala ya Chadema kutake challenge na kujirekebisha zinaletwa sababu za k itoto tena muflisi kabisa ..SHAME
Inakopita CHADEMA.. CCM walipita zamani sana enzi za Zidumu Fikra za mwenyekiti Mwl. Nyerere. yeye alianza vzr na akamaliza vibaya sana..
kwangu mimi hakuna Raisi wa nchi hii aliyefeli kama yeye. CCM wamefanikiwa sana kutudanganya juu ya mafanikio uchwara mpaka wapinzani wa nchi wameingia mkenge nao eti wanamtukuza na kumsifu.
Mpinzani wako ni kioo chako jilinganishe uone udhaifu wako au uimara wako.

JIBU HOJA MSILETE VIOJA.
 
Hili jambo huwa silielewi kabisa. Kweli Mbowe kama binadamu ana madhaifu yake, lakini inakuwaje ni CCM ndiyo wanataka kuweka ukomo wa uenyekiti wa Mbowe CHADEMA?

Yaani ni kama Wamarekani waseme ni kwa nini wajerumani wanaendelea kumchagua Angela Merkel kuwa Kansela wao. CCM kuhusu Mwenyekiti wa Taifa hakuna mahali kwenye katiba yao pamewekwa ukomo wa muda, bali wanabadilishana kwa kutegemea "Tamaduni" ya chama hicho na wala si kwa uchaguzi kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho hakuna kugombea nafasi ya mwenyekiti Taifa.

Sasa chama ambacho huwa hakifanyi kabisa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa, kinakuwaje na nguvu ya kimaadili kuwaambia CHADEMA wabadilishe Mwenyekiti wao Taifa? Kwani kwenye Katiba ya CHADEMA kuna kipengele kinakataza mtu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa zaidi ya mara moja?
Shwaini zao ccm pilipili ya shamba inawawasha nini?
 
Uchaguzi wa ndani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ni jambo linalofuatiliwa kwa ukaribu sana, na makada wa CCM, ndani na nje ya serikali, jambo ambalo wana CHADEMA wamekuwa kama hawaelewei elewi kwa nini hili jambo ni muhimu kwa wana CCM.

Wapo wana CHADEMA wanaodhani kuwa CCM wanafuatilia huu uchaguzi kwa kuwa wanataka Mbowe atoke madarakani, kwa kuwa et Mbowe amefanikiwa sana kukijenga chama kwa miaka 20 aliyokuwa mwenyekiti, bila kuyumbishwa na CCM, hivyo CCM wanataka wapandikize mtu ambae watamcontrol kwa urahisi.

Binafsi, naona hilo si kweli, Kwanza, si kweli kuwa Mbowe ni tishio kwa CCM, Mbowe kama Mbowe hajawai kuwa tishio kihivyo kwa CCM, ni Wazi kuwa mtu kama Dr Slaa, au mtu kama Lissu, japokuwa hawajawhi kushika nafasi za uwenyekiti, ila kwa nafasi zao, walikuwa tishio zaidi kwa CCM kuliko Mbowe.

Hizi ndo sababu nazoziona kwa nini CCM wanafuatilia uchaguzi huu kwa Umakini:-

- Uchaguzi wa CHADEMA, Utaondoa ile dhana ya kuwa CHADEMA ni chama cha kikanda,cha wachagga, cha asasi ya kifamilia:- CCM wamekuwa wakiitumia hili jiwe siku nyingi kuipondea chadema, na kuna utani mahali kuwa, kirefu cha chadema, ni "Chagga Development Manifesto" wana CCM huambiana hivi, na kuhamasishana umuhimu wa kujituma katika ajenda zao za kukizua chama hiki chenye mlengo wa kikanda na kikabila kushika hatamu.

Sasa imefika mahali, endapo uchaguzi wa huru haki utafanyika CHADEMA, na Akatokea mwenyekiti ambae, sio Mkaskazini, sio mchagga, sio mkwe wa Mzee Mtei, Ndesamburo wala sio mtu wa inner cycle ya founders, basi CCM itapoteza kete muhimu sana ambayo imekuwa ikiitumia kuipondea CHADEMA

Ukanda na CHAGALISM imekuwa jiwe la kuipondea CHADEMA, ambalo kwa bahati mbaya limefanya kazi vizuri sana kwa miaka yote hii, kama ambavyo Udini/UISLAAM ulifanya kazi kwa CUF Had kikapotea kabisa. Na namna pekee ya CHADEMA kuepukana na jiwe hili, ilikuwa ni kupitia mwenyekiti anae mrithi Mbowe, ambaye ni mkwe wa muasisi wa Chama.

CCM wanajua hilo, na wanafuatilia kwa umakini sana kuona kama risasi yao ya siku zote itaendelea kutumika au lah!.

- Magufuli for 2030 Ajenda: Kikubwa kingine kinachofanya uchaguzi wa CHADEMA hasa wa mwenyekiti ufuatiliwe kwa ukaribu na wakereketwa wa CCM , na hasa Nisema wakereketwa wa Magufuli, hasa wale wanaotaka mzee baba, atoboe had 2030 ikibidi na zaidi.

Ni kwa sababu, wana aamini kuwa, Wakiwapump CHADEMA, Chadema watajaa kwenye 18 zao, wakati huu wakati CHADEMA wanataka kuhalalisha kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka 20 na bado wanataka miaka mingine,wakati ambao wanataka kuuthibitishia Umma wa Watanzania na dunia nzima kuwa,

"Akipatikana kiongozi bora, ni heri akae madarakani muda wote, hadi pale atakapopatikana wa kumtosha". Huo ujumbe unaotolewa na CHADEMA, ana wafuasi wa Mbowe, unatoa point nzuri sana kwa wakereketwa wa Rais Magufuli.

Na endapo kweli kama tutaenda kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na Mbowe angali akiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Basi amini nakuambia, kile kikundi cha watu ndani ya CCM na ndani ya Serikali ambao wanatamani kumuona Rais Magufuli akiongoza hadi achoke, watakuwa wamepata vitu viwili muhimu:

1. Watakuwa wamepata sababu rahsi na mifano ya kuhalalisha ajenda yao
2. Watakuwa wamepata precedence case, ya kutumika kufafanulia ajenda yao.

Wakereketwa wa CCM na Rais Magufuli wanajua kila linalosemwa kipindi hiki na viongozi wa CHADEMA, ni muhimu sana, kwani litatumika hapo usoni kuipush ajenda hii, Nasikitika kuwa, CHADEMA hawajui hilo, na wanadhani wao kubaki na Mwenyekiti Mbowe, ni muhimu sana.

Ni wakati sasa CHADEMA, ijipambanue, ikubali kuwa Mwenyekiti kakitumikia chama kwa muda, na sasa apishe wengine. Ni wakati wa kuonyesha kwa mifano ukuaji wa Demokrasia ndani ya chama chetu, ni wakati wa kuonyesha kwa vitendo kuwa tunapinga utaratibu wa viongozi wa kiafrika kujiongezea muda madarakani
 
Ni lini au ni wapi CCM ilitangaza kuwa haimtaki Mbowe agombee au aendelee kuwa Mwenyekiti Taifa CHADEMA? Acheni Uwongo, Majungu na Uswahili. CHADEMA kamwe haimalizwi na CCM bali ukiwa na Akili timamu kabisa utagundua ya kwamba CHADEMA inajimaliza yenyewe na kama kuna Chama cha Upinzani nchini Tanzania ambacho kimetengeza Makundi makubwa ndani ya Chama na kuna ' Moto ' wa chini chini ' unafukuta ' huko ila unafichwa kwa Kivuli cha Kuisema na Kuisakama CCM basi ni CHADEMA.

Na ili Kulithibitisha hilo nakuomba anza sasa Kufuatilia huu Mchakato mzima wa Uchukuaji Fomu ndani ya CHADEMA ndipo utajua kuwa GENTAMYCINE huwa sibahatishi kwa yale niyasemayo. Hivi unadhani kama CHADEMA kungekuwa Shwari Mwenyekiti wake angetengeza Watu wajifanye wanamtaka, wanamkubali hadi Kumchukulia Fomu? CHADEMA kungekuwa Shwari na Mbowe anakubalika Mzee Sumaye angechukua Fomu pamoja na Yule Mbunge wa Mtwara? Na nasikia ( japo bado sijathibitisha ) kwamba muda wowote Mbunge John Heche nae atachukua Fomu.

Hivi unadhani kwa Kiu hiki cha Uongozi ndani ya CHADEMA mfano Mbowe akiendelea tena kuwa Mwenyekiti hawa akina Sumaye, Heche na Yule Mwingine ambao nao pia wana Makundi yao ndani ya CHADEMA watafurahi na hata Kunyamaza kwa Kuridhika? Namalizia kwa Kukutabiria mapema tu kuwa kama Mbowe akipita tena kati ya hawa akina Sumaye, Heche na Yule Mbunge wa Mtwara na hata ' Waandamizi ' wengine ndani ya CHADEMA kwa Hasira watahamia upesi CCM. Nakuomba uitunze hii ' Post ' yangu tafadhali kwani kuna Watu wengine ' tumebarikiwa ' Maono makali na makubwa na Mwenyezi Mungu kiasi kwamba 95% ya yale ambayo huwa tunayasema huja Kujitokeza / Kujidhihiri.
 
Kwanza rekebisha rekodi zako maana tutakufikiria unapotosha kwa makusudio maalum.
Mbowe hajawa kiongozi kwa miaka 20. Umetoa wapi hizo data?
 
noted mkuu
 
kweri
 
Nyinyi waacheni Chadema na chama chao

Mishipa inawatoka hapa ....urongo nyote, hakuna ukweli ni uzushi tu.
 
Back
Top Bottom