Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Labda kupakua naweza fundisha bwashee
Wewe huwezi kufundisha chochote?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huwezi kufundisha chochote?!
Basi wewe ni mwalimu!Labda kupakua naweza fundisha bwashee
Unapenda kulazimisha mambo weweWaalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
tindo alimuandikia mtu comment hivi, “mmeshasema elimu ni bure, kwanini usirudi shule ukajifunze kuandika”? 😀😀😀Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake
Low iq.Waalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
Basi wewe ni mwalimu!
Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!

Hivi huyu si ndio aliropoka kipindi fulani kuwa mwajiriwa wa serikali asiyeridhika na mshahara anaolipwa basi aache kazi aende atakakolipwa mshahara wa kumridhisa?
My God....yuko wapo huyo Bw Goodlucky Mlinga..???Bwashee kuna siku nyingine unakuwa na akili nyingi kama Tundu Lissu vile, halafu kuna siku ukiamka vibaya, huwa unakuwa kama Goodluck Mlinga!!
Hongera kwa hoja yako! Hakika maendelwo hayana chama. Leo kidogo nimekuelewa.
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Tupo nae hapa maeneo ya Mawasiliano Mahenge tunakula tu kvant.My God....yuko wapo huyo Bw Goodlucky Mlinga..???
Enzi zenu zimeisha. Future is now.. the future is different. Serikali inaweza kuajir wasomi wote wanaotoka chuo?Enzi zetu tulikuwa tunaajiriwa kwa lazima serikalini baada ya kumaliza chuo!
Hii sera ilikuwa sahihi kwa maana ajira zilikuwepo nyingi serikalini.Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Acha ubishi we buibui.Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.
Utabibu ni wito tena ni ibada!
Acha kupotosha, usidhan udaktar umesoma pekee yako. Sheria inasema ukimaliza masomo huruhusiwi kufanya kaz inje ya nchi mpaka uitumikie nchi yako kwa mda wa miaka 5. Na haijasemaHlazma ufanye kaz serikalin au private ila tu nchini. Hii sheria inatumika tu kwa madaktar waliopata grant/ ruzuku toka serikalin sio kwa madaktar waliosoma kwa kutumia mkopo.Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Kwan huyo jamaa anatatibu wakenya?Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake