Inakuwaje kwa madaktari tuliowasomesha lakini wamekimbilia bungeni kufuata maslahi mazuri!

Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake
tindo alimuandikia mtu comment hivi, “mmeshasema elimu ni bure, kwanini usirudi shule ukajifunze kuandika”? 😀😀😀
 
Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake

Ndege za ATCL ni za serikali, je kila mtanzania mpaka wa hali ya chini anapanda kwakuwa ni za umma? Hapo ndio utajua haujui.
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!

..Waanze na Dr.Hussein Mwinyi.
 
Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake

..Madaktari wamesoma kwa mkopo, ni makosa kusema serikali "imewalipia" masomo.

..serikali inaweza kusamehe mkopo kwa madaktari watakaokubali kutumikia ktk hospitali za serikali kwa kipindi fulani.
 
Hivi huyu si ndio aliropoka kipindi fulani kuwa mwajiriwa wa serikali asiyeridhika na mshahara anaolipwa basi aache kazi aende atakakolipwa mshahara wa kumridhisa?

..Na kuna kipindi Jpm alitaka kupeleka Madaktari wa Tanzania wakafanye kazi Kenya.

..alisema Tanzania inataka kuipa serikali ya Kenya msaada kukabiliana na mgomo wa madaktari waliokuwa wakidai waongezewe mishahara.
 
Bwashee kuna siku nyingine unakuwa na akili nyingi kama Tundu Lissu vile, halafu kuna siku ukiamka vibaya, huwa unakuwa kama Goodluck Mlinga!!

Hongera kwa hoja yako! Hakika maendelwo hayana chama. Leo kidogo nimekuelewa.
My God....yuko wapo huyo Bw Goodlucky Mlinga..???
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!

Kukata mzizi wa fitina kazi zote za siasa ziwe na mishahara na marupurupu madogo kuliko za taaluma.

Waheshimiwa wote wa siasa hawa kodi stahiki ziwahusu kama mtu mwingine yeyote tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Yuko sahihi kabisa.

Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Hii sera ilikuwa sahihi kwa maana ajira zilikuwepo nyingi serikalini.

Hivyo ilikuwa ni budi kujaza nafasi huko kwanza.

Leo soko huria,unaajiriwa hapa,kesho upo kule.

Maana ajira zimekuwa ni mapambano tu.

Huyu magu si alishapiga mkwara ataweza fukuza wote na kuajiri wengine.
 
Yuko sahihi kabisa.

Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Acha kupotosha, usidhan udaktar umesoma pekee yako. Sheria inasema ukimaliza masomo huruhusiwi kufanya kaz inje ya nchi mpaka uitumikie nchi yako kwa mda wa miaka 5. Na haijasemaHlazma ufanye kaz serikalin au private ila tu nchini. Hii sheria inatumika tu kwa madaktar waliopata grant/ ruzuku toka serikalin sio kwa madaktar waliosoma kwa kutumia mkopo.
 
Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake
Kwan huyo jamaa anatatibu wakenya?
 
Back
Top Bottom