Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?

View attachment 3010470
Mzee kwenye hii mikeka kuna watu wako kwenye List nikuchomoa tu page unaweka Lettee Head.

Sasa endelea kuwa chawa kama Mwashamba au Pascal Mayalla na JohnBaptist utazeeka na uteuzi hutauona.
 
Mitambo gani, mitambo ya ccm yote mibovu ana test ya nini? Anataka kufurahisha ccm wote, hadi mwaka unaisha watakuwa wameteuliwa wengi sana.
Kosa la Dr Samia ni lile lile waliolofanya Mwl Nyerere, Ben Mkapa na John Magufuli ya kupenda Chama kuliko Taifa.

Mwisho wanaonemeeka ni kakundi kadogo ka watu wasiozidi Milioni Moja tu.
 
..Maza aliwahi kuteua mtu asiyekuwa na vigezo, wala background, kuwa DG wa Tpdc. Jamaa kolifikeshen yake ilikuwa ni Uvccm.

..kwa kifupi, huyu Maza hayuko makini, na inaelekea hajui vitu vingi sana.

.. Haiwezekani file la uteuzi wa DG wa shirika nyeti kama Tpdc lifike mezani kwake halafu afanye maamuzi kama yale.
Bwana Richard Mwesiga Katibu UVCcm Udom.
 
Katiba siyo suluhisho ya matatizo yetu tuna mambo mengi sana zaidi ya katiba kenya si hao kila uchaguzi wanuana na wizi bora hata kwetu ,na wana katiba ambayo sisi ndio tunaona ya mfano
MBowe huyo hapo anapambana afie chadema na familia yake, halafu tunadanganyana tatizo katiba
Ujakua
 
...Kuna mengi sana ,ya kufikirisha ndani ya Ile Ofisi ..
Ukikumbuka uteuzi wa DG wa TPDC unschoka Kabisa! Leo kateua mtu!, Kuna lile la TANGAZO la kifo Cha Mzee Mwinyi, du!
 
Ukiteua na kutengua kila wiki, kuna siku utateua au kutengua mtu aliyekwishatangulia tu.

It is a matter of statistical chance tu.

Kwa nini teuzi na tenguzi zinakuwa nyingi sana?
Ndo madhara ya kuteua watu bila ya kuwajulisha au kuwasiliana nao kabla hujatangaza kwa umma!

Wangejaribu kumjulisha huyo marehemu wangegundua kwamba tayari ameshakufa hivyo haiwezekani kumteua.

Kwa vile kateuliwa ilhali ameshakufa, ni wazi kuwa bado wanafanya teuzi bila ya kuwajulisha wateuliwa kabla ya kuutangazia umma.
 
Hili ni tatizo kubwa sana. Huu ni uzembe wa hali ya juu!
Hakuna uzembe hapo, bali ikulu ilichelewa kupata taarifa za kifo chake, yeye aliteuliwa pengine mwezi mmoja kabla ya kifo chake.Na sidhani kama hiyo ajali au kifo kilitangazwa na vyombo vya habari vikubwa.
 
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?

View attachment 3010470
Siyo kila kifo husikika kila sehemu na kwa kila mtu, ila ungejengeka utamaduni wa kumuuliza mhusika in advance huenda wangejua
 
Unadhani hawajui? 😂😂
Awamu(?) hii tokea waingie, wana mambo ya ajabu sana ambayo hayajawahi kuonekana tokea nchi ipate uhuru.

Enzi za Mwalimu Nyerere ungetegemea mambo kama haya yatokee, kwa kutokuwepo watu wenye elimu ya kutosha enzi hizo; lakini sasa?
Kuna jambo haliko sawa hapo Ikulu.
 
Ndo madhara ya kuteua watu bila ya kuwajulisha au kuwasiliana nao kabla hujatangaza kwa umma!
Hii ingekuwa practiced hata wale wanaolaumiwa kwa kukataa teuzi wasingetwishwa hiyo lawama
 
Awamu(?) hii tokea waingie, wana mambo ya ajabu sana ambayo hayajawahi kuonekana tokea nchi ipate uhuru.

Enzi za Mwalimu Nyerere ungetegemea mambo kama haya yatokee, kwa kutokuwepo watu wenye elimu ya kutosha enzi hizo; lakini sasa?
Kuna jambo haliko sawa hapo Ikulu.
Hayati J. K. Nyerere was smart upstairs, akili yake ilijitegemea na ilijua dira ya taifa
 
Ndo madhara ya kuteua watu bila ya kuwajulisha au kuwasiliana nao kabla hujatangaza kwa umma!

Wangejaribu kumjulisha huyo marehemu wangegundua kwamba tayari ameshakufa hivyo haiwezekani kumteua.

Kwa vile kateuliwa ilhali ameshakufa, ni wazi kuwa bado wanafanya teuzi bila ya kuwajulisha wateuliwa kabla ya kuutangazia umma.
Unajua uteuzi unavyofanyika lkn? Waweza kujulishwa mwezi mmoja kabla na ukaambiwa usiseme mpaka utakapopewa barua ya uteuzi au itakapotangazwa na ndio maana uteuzi mwingine utaambiwa huu umeanza tarehe flan ya mwezi uliopita.Mpaka jina lako linapenya kuna hatua nyingi upitia na hizo hatua lazima TISS wakuhusishe, ni kama ilivyo ajira nyingine.
 
Uzembe tu.

Mamlaka ya uteuzi inapaswa kuwa in touch na wateuliwa muda wote.

Na ikifika muda wa kutangaza, mamlaka inapaswa kuwasiliana na wateuliwa kwa mara ya mwisho kabla tangazo halijawekwa kwa umma.

Simple, basic common sense. Not rocket science.
 
Hayati J. K. Nyerere was smart upstairs, akili yake ilijitegemea na ilijua dira ya taifa
Kuwa 'smart' upstairs' kwa kiongozi ni pamoja na kujuwa watendaji wa karibu wanaomsaidia kiongozi kazi. Huyu wa sasa, kwanza 'upstairs' hakuna kitu na hana u-'smart' wa aina yoyote. Elimu yenyewe duni kabisa!
 
Uzembe tu.

Mamlaka ya uteuzi inapaswa kuwa in touch na wateuliwa muda wote.

Na ikifika muda wa kutangaza, mamlaka inapaswa kuwasiliana na wateuliwa kwa mara ya mwisho kabla tangazo halijawekwa kwa umma.

Simple, basic common sense. Not rocket science.
Kweli kabisa
 
Nilishawaambia hii nchi kwa sasa inaongozwa na under age..tiss imejaza under age watupu, under age kwa maana umri wao na majukumu ya kazi wanazofanya havilingani, sawa ana elimu lakin umri kulingana na majukumu mtu anapaswa kuyafanya ni muhimu sana, kasoro hii ilianza awamu ya 4..ndio maana mambo ya kitoto ni mengi sana ndani ya serikali..jaribu kufikiri, watu wazima na akili zao wanaweza kuwaza kuweka mabango ya kiongozi nchi nzima kana kwamba anaowaongoza hawajui mazuri anayofanya?

Hizi ni akili za kitoto, ni kama ikulu tumeachia watoto na wanachaguana wao kwa wao..Biteko, bashungwa, mchengerwa, katambi, mavunde..wametweza sana nafasi za uongozi kuanzia ma DC, DAS, hata Wakuu wa mikoa..ujinga ujinga mwingi sana tofauti na awamu ya 3 kurudi nyuma..kwa sasa DC kuzaa nje ya ndoa ni kitu cha kawaida kabisa.
Umeongea jambo la maana sana.
 
Maana yake hata mikataba ya wakorea kuuziwa bahari na madini ililetwa tu wakasainishwa !
Ndo shida ya watu kuwa kwenye nafasi fulani bila merit.

Hii nchi ina ombwe kubwa sana kwenye nafasi za juu za maamuzi na utendaji.

Watu wapo kwenye nafasi fulani bila kuwa na uzoefu na uwezo wa kutosha kwenye nafasi hizo na ndo mana haya yanatokea
 
Meritocracy is no longer a prerequisite in Tanzania .
 
Back
Top Bottom