Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mzee kwenye hii mikeka kuna watu wako kwenye List nikuchomoa tu page unaweka Lettee Head.Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Sasa endelea kuwa chawa kama Mwashamba au Pascal Mayalla na JohnBaptist utazeeka na uteuzi hutauona.