Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Tunataka katiba MPYAAAAAA
Katiba siyo suluhisho ya matatizo yetu tuna mambo mengi sana zaidi ya katiba kenya si hao kila uchaguzi wanuana na wizi bora hata kwetu ,na wana katiba ambayo sisi ndio tunaona ya mfano
MBowe huyo hapo anapambana afie chadema na familia yake, halafu tunadanganyana tatizo katiba
 
Ukiteua na kutengua kila wiki, kuna siku utateua au kutengua mtu aliyekwishatangulia tu.

It is a matter of statistical chance tu.

Kwa nini teuzi na tenguzi zinakuwa nyingi sana?
 
😄 teua tengua iko siku unaweza
Mteua beki 3 wako au shamba boy...ohooo

Ova
 
Ukiteua na kutengua kila wiki, kuna siku utateua au kutengua mtu aliyekwishatangulia tu.

It is a matter of statistical chance tu.

Kwa nini teuzi na tenguzi zinakuwa nyingi sana?
Inaonyesha wanaoteuliwa hawana uwezo wa nafasi walizo pewa, sasa wanajaribu kila siku mpaka wapate mwenye unafuu. UVCC ni wengi sana.
 
Ati mtu kafariki tarehe 4 June halafu tarehe 6 June anapata uteuzi.

Nikamwambia hebu niongezee gahwa mixer na tangawizi.

Hivi Tanzania 🇹🇿 watu wa IT fanyeni msaada kuwa na chombo chenye taarifa za watu kiwe kinahuishwa kila baada ya saa 24.

Hivi kuna kashataa?
 
Kuna watu wapo hai mwaka wa 50 sasa hawajawahi kula uteuzi, ila mwenzao marehemu wa siku mbili tuu tayari kala shavu, sijui hawaoni wivu kwa mwenzio.
 
Ukiteua na kutengua kila wiki, kuna siku utateua au kutengua mtu aliyekwishatangulia tu.

It is a matter of statistical chance tu.

Kwa nini teuzi na tenguzi zinakuwa nyingi sana?
Dictatorial control strategy. The boss holds all the cards. All serve at his/her pleasure. No established scheme; no meritocracy. No one else should feel certain or confident on anything.

Ilianza na Magufuli. Najiuliza sana sijui alisomea wapi hii mbinu ya Mobutu? Kama ile mbinu ya kupangua civil service ili kubana na ku-divert allocation ya govt wage bill akianzia na janja ya vyeti fake (vya o-level).
 
Inaonyesha wanaoteuliwa hawana uwezo wa nafasi walizo pewa, sasa wanajaribu kila siku mpaka wapate mwenye unafuu. UVCC ni wengi sana.
Unajuaje kuwa si anayeteua hajui cha kufanya hivyo kila siku ana test mitambo tu?
 
..Maza aliwahi kuteua mtu asiyekuwa na vigezo, wala background, kuwa DG wa Tpdc. Jamaa kolifikeshen yake ilikuwa ni Uvccm.

..kwa kifupi, huyu Maza hayuko makini, na inaelekea hajui vitu vingi sana.

.. Haiwezekani file la uteuzi wa DG wa shirika nyeti kama Tpdc lifike mezani kwake halafu afanye maamuzi kama yale.
 
Yeye mwenyewe hajafika hapo kwa qualification na meritocracy.

Atajuaje umuhimu wa vitu hivyo?
 
Back
Top Bottom