kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Naamini hujui majukumu yao.Usalama wako wapi kuhusu nini? Usalama ni automatic machine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini hujui majukumu yao.Usalama wako wapi kuhusu nini? Usalama ni automatic machine?
Wewe unajua?Naamini hujui majukumu yao.
Nilishawaambia hii nchi kwa sasa inaongozwa na under age..tiss imejaza under age watupu, under age kwa maana umri wao na majukumu ya kazi wanazofanya havilingani, sawa ana elimu lakin umri kulingana na majukumu mtu anapaswa kuyafanya ni muhimu sana, kasoro hii ilianza awamu ya 4..ndio maana mambo ya kitoto ni mengi sana ndani ya serikali..jaribu kufikiri, watu wazima na akili zao wanaweza kuwaza kuweka mabango ya kiongozi nchi nzima kana kwamba anaowaongoza hawajui mazuri anayofanya?Inasikitisha sana
Najua. Ndiyo maana siwezi kusema Taasisi ya Urais 'imesahau kitu' ama 'haimjui mtu', kama ulivyoandika hapa.Wewe unajua?
🤣🤣🤣 yaan kichwa cha habari kitakua marehemu aulaaaMi naona walengwa wadai mafao ya marehemu kwa cheo alichoteuliwa maana yupo kazini tayari.
Leo tar 6 June, huenda uteuzi ulifanyika kabla ya tar 4 June yaani kabla ya ajali, ila ni jambo linaloweza tokea katika majukumu mengi, sio jambo la kushangaa sana, linarekebishwa tu
Hizo za Korea ndiyo habari zinazouza sana kwenye mitandaoNionavyo,
Wa kuombewa ni kiongozi wetu aliyemteua na Si marehemu mteuliwa!!
Anyway, Eti ni Kweli Mkopo wa Korea umebadilishwa na Migodi na bahari yetu?
Hakuna uzembe hata kidogoKwa mtu mzembe, hili jambo linaweza kutokea kwa sababu ni bahati mbaya. Lakini kwa wenye akili huu ni uzembe wa hali ya juu.
Hujui kitu wewe pimbi zaidi ya matusi tu. Kwani kosa liko wapi hapo?Huijui kazi ya Usalama wa Taifa wewe Mbwiga!!
Hiyo ni ofisi ya Rais ambayo inatakiwa kuwa makini Kila dakika na wakati wote!! Kama mteuliwa kafa siku Moja nyuma na ikulu Haina taarifa, ni vipi itakuwa na taarifa Maadui wanaoingia nchini??
Kwa akili yako nchi ikivamiwa na Wahuni utasema tulikuwa tumesinzia Kwa hiyo tusijali? Uchawa unawapofusha
Bumunda mwenyewe.Wewe ni bumunda kabisa, uoni kuwa mkeka umesainiwa Leo? Unafaham logic ya kusaini kitu chochote, iwe barua au nyaraka?
Meaning Ikulu haifanyi briefing kila siku? Kama Ikulu inakuwa misinformed kwenye mambo madogo hivi bhasi nchi yetu ipo uchi mbele ya adui zetu. Nakumbuka maneno ya CDF kuwa kuna wageni mpaka kwenye nafasi za maamuzi so sishangai mambo kwenda vululuvalala ili mradi liende tu...... Wenye uwezo wa kurekebisha hii Hali ni wananchi wenye pale watakapoamua seriouslyItakuwa mkeka uliandaliwa a day before he died.