Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vuuup keka Lina tobo!Watz hatupumziki, huku bize bize na mjadala wa safari ya korea na wasanii, mara vuuuup jimkopo limesainiwa mara mjadala kopo hilo tumetoa bahari....mara vuuup keka hilo. Watz tupo bize hadi raha....
Keka limeliwa na mbuzi.....Vuuup keka Lina tobo!
Kweli kabisaNashauri, ili kuepusha unforeseeable inconveniences za aina hii again in future, Ikulu iwape a most recent notification wateuliwa wote, closer to pdf release.
Ikulu ni taasisi kubwa mno with all means and resources. As such, haitakiwi kabisa kufanya shameful negligences za namna hiyo.
-Kaveli-
Wameshabadilisha. Kweli JF iko vizuri ndo mana mamlaka wanaifuatilia sana
Sahihi, au hata kama ni makosa ya kibinadamu hayapaswi kuwa mara kwa mara hivyo.Hapana haya sio makosa ya kufanywa na Ofisi kubwa kama Ikulu
Jina namba tano kwa WakurugenziHiyo pdf yenye jina lake mbona mm siioni??
Hii inaonyesha kwenye uteuzi hakuna umakini na kuna makosa mengi tu yanafanyika. Hili tumejua kwa sababu ni marehemu, kuna hao wengine hawana sifa na kila aina ya makandokando. Tukisema rais apunguziwe watu anaoteua wanapinga.Nashauri, ili kuepusha unforeseeable inconveniences za aina hii again in future, Ikulu ifanye a most recent communication/notification kwa wateuliwa wote, closer to pdf release.
Ikulu ni taasisi kubwa mno with all means and resources. As such, haitakiwi kabisa kufanya shameful negligences za namna hiyo.
-Kaveli-
Wanipe hiyo nafasi mimiIkulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM Kiongozi anatoa taarifa kuwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi HW Kilolo.
Ikulu kuweni serious kidogo mmekuwa kichekesho kwa kila kitu.
Msoga na Kizimkazinni Mbingu na Ardhi!Yote haya yamewezekana Kwa sababu mteuaji Huwa hajishughulishi kuwafahamu anaowateua.majina ya wanaoteuliwa Huwa Yana Toka msoga.hivyo,yeye Huwa hawajui anaowateua