Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Marehemu anaachieve great things wakati nipo hai na kufikia hizo level ni mtihani
 
Kama hili umakini haupo, vipi hiyo mikataba?
 
Badala ya kujadili marehemu kateuliwa ni wakati wa kuitisha matembezi yetu yale. Yale ya nyuma zilikuwa mbio za mweng. Nchi inauzwa upinzani mpo tuu kujadili yasiyo ya msingi. Chadema huu ndio wakati sahihi sio Kesho. Walinda nchi wamegeuka waimba mapambio. Wananchi wameachwa.

Ipo siku.,,,,
 
Ukifuatilia utendaji kazi wa watumishi wa serikali hawana umakini katika wanayoyafanya

Ukifanya kazi katika NGO au mashirika yanayosimamiwa na watu wa nje kwa kipindi fulani halafu ukapata bahati ya kuingia serikalini lazima kwa siku za mwanzo utakwazwa na wafanyakazi wenzako

Vitu unavyovitafsiri kuwa ni uzembe kwao ni kawaida
Vitu unavyovitafsiri kuwa ni uvivu wao kwao sio shida
Vitu unavyovitafsiri ni kukosa umakini hata hawajali
Vitu unavyoona vinarudisha nyuma taasisi kwao sio shida
Vitu unavyoweza kutafsiri kuwa ni majungu kazini wao ndo kwanza wanavipa kipaumbele

Na hii haijalishi kada wala hadhi ya mfanyakazi

kuna umakini mdogo sana serikalini

Unaweza kufikiria mwenyewe na kutafuta jibu ukipenda, kama umakini katika haya mambo madogo tu ambayo taatifa zinapatikana hadi social media vipi hii mikataba inayoambatana na Phd??
 
Inasikitisha sana, hii ni taswira ya mtanzania, tusilaumu sana..ndivyo tulivyo kwa ujumla wetu.
 
Watz hatupumziki, huku bize bize na mjadala wa safari ya korea na wasanii, mara vuuuup jimkopo limesainiwa mara mjadala kopo hilo tumetoa bahari....mara vuuup keka hilo. Watz tupo bize hadi raha....
Mambo ni mengi, tupo nje ya muda...
 
Kama hawajui kinachoendelea nchini wataweza kweli kusoma mikataba ya 100 pages kwa lugha ya kigeni with fine prints? Nchi ya kusadikika.
Hawasomi kuna jamaa namfahamu aliwahi ongea wakiendaga huko nje kwenye mikataba ,kijitabu kina pages 200 za kizungu kile sanifu kama kiswahili

Wakifika kwanza wanawekwa nyota tano hotel ,wanapewa kila kitu bure na wadada waremboo kama utapendezwa, asubuhi wanafatwa na gari baada ya breakfast wakabarizi ulaya hukoo kila sehemu nzuri wanaenda ,wakirudi jioni wanapelekwa sehemu za stara za "kwendaa"yaani wanashangaa ..wanakula bataaa refu wakirudishwa kulala wako hoi!!!

Ndani wa wiki moja au mbili za kusaini mkataba anajikuta kile kitabu cha mkataba kasoma page ya intro tu .Mwisho wanasaini wasivovijua

Nilichoka that day anasema

Ever since nimeacha kabisaa kufatilia mambo ya hii nchi
 
Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM Kiongozi anatoa taarifa kuwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi HW Kilolo.

Ikulu kuweni serious kidogo mmekuwa kichekesho kwa kila kitu.
Waweza kuta wamefanya makusudi ili tuache kujadili ugawaji wa madini na bahari tuanze kujadili huu uteuzi
 
Tanzania uchawi mkubwa sana upo, yan pale ambapo unatarajia kukua kiuchumi, kicheo, gafla wachawi wanakatisha maisha yako. Fak u all wwchawi.
 
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya...
Aibu kubwa na sio mara moja hata tar huwa wanakosea sana.aibu aibu . Jamaa hawasomi. Ukwel Mama apumzike hata yeye amechoka.

Samia alitakiwa kuongoza 50 days tu kisha ufanyike uchaguzi mdogo . Mikeka kama hiyo inapitia mikono mingi. Mtu kafa juzi wameshindwa ku edit barua tena page moja last line ? Sioni tofauti ya ikulu na SSC, tume chukua hadi mtu wa BBC but wapi

Aibu aibu aibu ikulu ipo kwenye bread of shame
 
Back
Top Bottom