Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba siyo suluhisho ya matatizo yetu tuna mambo mengi sana zaidi ya katiba kenya si hao kila uchaguzi wanuana na wizi bora hata kwetu ,na wana katiba ambayo sisi ndio tunaona ya mfanoTunataka katiba MPYAAAAAA
😄 teua tengua iko siku unawezaUkiteua na kutengua kila wiki, kuna siku utateua au kutengua mtu aliyekwishatangulia tu.
It is a matter of statistical chance tu.
Kwa nini teuzi na tenguzi zinakuwa nyingi sana?
Rais apunguziwe madaraka ya kuteua kila nafasi ya mtendaji wa serikali, hii ni AIBU KUBWA kwa CCM na katiba yao ya HOVYOMarehemu kateuliwa 😄
Ova
Kabisa ndugu, hatuna Rais. Tunaongozwa na genge la MAMLUKI tuHapo ndo utagundua tunaongozwa na watu wa hovyo kweli kweli, awamu ya 6 hakuna seriousness kuanzia juu kwenye ushungi hadi ma dc!
Inaonyesha wanaoteuliwa hawana uwezo wa nafasi walizo pewa, sasa wanajaribu kila siku mpaka wapate mwenye unafuu. UVCC ni wengi sana.Ukiteua na kutengua kila wiki, kuna siku utateua au kutengua mtu aliyekwishatangulia tu.
It is a matter of statistical chance tu.
Kwa nini teuzi na tenguzi zinakuwa nyingi sana?
Dictatorial control strategy. The boss holds all the cards. All serve at his/her pleasure. No established scheme; no meritocracy. No one else should feel certain or confident on anything.Ukiteua na kutengua kila wiki, kuna siku utateua au kutengua mtu aliyekwishatangulia tu.
It is a matter of statistical chance tu.
Kwa nini teuzi na tenguzi zinakuwa nyingi sana?
Mengi yanazungumzwa kuna mzee mwenzangu hapa anasema si bure ni mkono wa mtu.Kuna watu wapo hai mwaka wa 50 sasa hawajawahi kula uteuzi, ila mwenzao marehemu wa siku mbili tuu tayari kala shavu, sijui hawaoni wivu kwa mwenzio.
Anaweza kujiteua Air Hostess wa Taifa.😄 teua tengua iko siku unaweza
Mteua beki 3 wako au shamba boy...ohooo
Ova
Unajuaje kuwa si anayeteua hajui cha kufanya hivyo kila siku ana test mitambo tu?Inaonyesha wanaoteuliwa hawana uwezo wa nafasi walizo pewa, sasa wanajaribu kila siku mpaka wapate mwenye unafuu. UVCC ni wengi sana.
Mitambo gani, mitambo ya ccm yote mibovu ana test ya nini? Anataka kufurahisha ccm wote, hadi mwaka unaisha watakuwa wameteuliwa wengi sana.Unajuaje kuwa si anayeteua hajui cha kufanya hivyo kila siku ana test mitambo tu?
Alikamatwa ugoniAmekufa kwa shida gani?
Unajuaje kuwa si anayeteua hajui cha kufanya hivyo kila siku ana test mitambo tu?
Mitambo ya nchi.Mitambo gani, mitambo ya ccm yote mibovu ana test ya nini? Anataka kufurahisha ccm wote, hadi mwaka unaisha watakuwa wameteuliwa wengi sana.
Yeye mwenyewe hajafika hapo kwa qualification na meritocracy...Maza aliwahi kuteua mtu asiyekuwa na vigezo, wala background, kuwa DG wa Tpdc. Jamaa kolifikeshen yake ilikuwa ni Uvccm.
..kwa kifupi, huyu Maza hayuko makini, na inaelekea hajui vitu vingi sana.
.. Haiwezekani file la uteuzi wa DG wa shirika nyeti kama Tpdc lifike mezani kwake halafu afanye maamuzi kama yale.