Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?View attachment 3010470
Labda alikuwa kwenye list ila Sasa wakasahau kupata taarifa na kufanya updates si unajua ni mpaka ofisi ya Rais Ipewe taarifa wao hawamjui Kila mtu
 
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?View attachment 3010470
Mkeka ulipangwa wiki chache zilopita na hii imetumika kama fursa.

Palikuwa na mtifuano baada ya ile habari ya 4 against 29+ kwenye meeting ya Seoul.

Hivyo Kusiluka kafunua makucha na kafanya reshuffle unoiona na katangaza mwenyewe.
 
Hii nchi kiukwel imejaa wapumbavu mnoo huko serikalini. Yan kwakwel hata majirani watakua wanatutzama wanachekaa sanaa.

Mtu kiguu na njia 24/7 katoka kuzurura korea huko na genge lake la wahuni anafikia kusoma majina ya uteuzi, mpaka marehemu wako humo wala hana habari.

Jamani!!! Kama mambo madogo kama haya ambayo yanakuja public mnafanya blunder za kijinga namna hii, sipati picha hiyo mikataba mnayoisanisha kwa wageni.

Serikal hii hakika ni yakipumbavu sana
 
Kipindi fulani kwenye ajira fulani kwenye pdf walizotoa,, tuliwahi kushuhudia jina moja limejirudia mara 100 ,,, yani kwenye kila page lilikuwepo,,,, baada ya kuona vile,,, nikajisema inaelekea kuna uwozo mkubwa mno kwa watendaji wa serikali.
 
Mkeka ulipangwa wiki chache zilopita na hii imetumika kama fursa.

Palikuwa na mtifuano baada ya ile habari ya 4 against 29+ kwenye meeting ya Seoul.

Hivyo Kusiluka kafunua makucha na kafanya reshuffle unoiona na katangaza mwenyewe.
Kwahy kuna watu wamefanya makusudi mzigo uende hewani ili mama aonekane careless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…