Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #221
Na hili linatucost big time.Meritocracy is no longer a prerequisite in Tanzania .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hili linatucost big time.Meritocracy is no longer a prerequisite in Tanzania .
Imagine nchi isaini mkataba wa mkopo.Na hili linatucost big time.
Hili nalo ni la kutetea? Acha unazi we buku7Labda alikuwa kwenye list ila Sasa wakasahau kupata taarifa na kufanya updates si unajua ni mpaka ofisi ya Rais Ipewe taarifa wao hawamjui Kila mtu
Ni Usiku Wa GizaUsilolijua
Hebu acha kutetea uzembe wewe. Huu ni uzembe uliotukuka.Leo tar 6 June, huenda uteuzi ulifanyika kabla ya tar 4 June yaani kabla ya ajali, ila ni jambo linaloweza tokea katika majukumu mengi, sio jambo la kushangaa sana, linarekebishwa tu
🤣🤣🤣Wale wanaogawa PhD wameumbuka
Unworking government machineriesLack of seriousness
Wewe unahusika.Amekufa kwa shida gani?
Tungekuwa na watendaj wenye uzoefu wa kutosha na uwezo pale ikulu hilo jambo la kupiga simu ndo jambo ambalo walipaswa kulifanya kabla ya kutoa huo mkeka.Mbona mimi nilikuwa nampigia mfanyakazi wangu wa zamani nilitaka nimrudishe kazini nimeshampangia kila kitu, kupiga simu kimyaa nikaona nimpigie Rafiki yake, Fulani yupo wapi nampigia simu imezimwa... kama kashangaa hivi, ananiambia jamaa tumeanza kumsahau kafariki kama mwezi hivi ajali ya boda boda. Anyway unajuwa kuna watu sio maarufu huyu kama sio teuzi hizi si ajabu hata tusingejuwa kama amefariki. Lakini leo tunajuwa amefariki sababu ya teuzi tu.
Sasa watu wa teuzi wanakuwa na majina mengi marehemu hakuwa maarufu si ajabu na wao leo ndio wamejuwa huyu mtu kafariki. Kuna watu hawajakata roho nchi nzima watajuwa sababu ya kujulikana majina yao yanauza wengine hawajulikani na majina hayauzi. Marehemu kapata kick leo kila mtu atatoa pole sababu ya teuzi...
Kama ikulu inafanya hivi basi huko kwenye kata wasilaumiwe kwa chochoteHapana haya sio makosa ya kufanywa na Ofisi kubwa kama Ikulu
Kabisa..Hii ni fedheha! Utoke mkeka mwingine wa wahusika kuondolewa katika nafasi zao.
😀😀Nchi inajiendea tu!! Pengine hata mama hajui kesho ana ziara nchi gani
😂😂😂Wale wanaogawa PhD wameumbuka
Kwahiyo Kilolo wanaongozwa kutoka Mbinguni. Hahaaa . Kilolo wametuzidiIkulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM Kiongozi anatoa taarifa kuwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi HW Kilolo.
Ikulu kuweni serious kidogo mmekuwa kichekesho kwa kila kitu.
View attachment 3010677