Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila

Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi.

Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani??

Mashoga
Majambazi
Wasagaji
Matrasgenders
Wachawi watumia majini
Walozi

Wanaisha mazuri mazuri kuliko wachamungu
 
Na wewe kawe shoga ili ya kwako nayo yawe mazuri
 
Mshangae

Na huwezi kuta mtu mwenye akili akawa Msagaji au shoga. Huyo mtu huwezi kumpata.
Ila wenye Elimu wapo
Kwaiyo boss Kuna vitu viwili Nimekuelewa moja ni kuwa na akili mbili ni elimu? Kuna mtu anaweza na elimu ila Hana akili?? Na akili ambayo unaizungumzia hapa ni akili gani? Naturally au Ile ya kuwa civilized
 
Ungesema kuwa wasagaji na waliwa viboga ni watu wenye elimu zao ningekuelewa lakin kusema wapo vizur kiafya ni uongo

Waliwa viboga wengi wamechoka
Mbona chibu ana afya njema tu mbona burna boy ana afya njema? Mbona Eminem ana afya njema mbona wapo wengi Wana afya njema??

Alafu issue sio mtu anataka kuadapt behavior ni suala la kuelekezana nashangaa mtu anakuja na matusi
 
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila

Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi.

Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani??

Mashoga
Majambazi
Wasagaji
Matrasgenders
Wachawi watumia majini
Walozi

Wanaisha mazuri mazuri kuliko wachamungu
Kuna dalili zote za kuleft group!
Kiota kinatolewa sio mda
 
Back
Top Bottom