Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
AhahahahaWe umeham mazizini? Gomz
Kama mtu ushazoea shida na kuona ni kawaida, hebu beba nafasi ya mgeni wako anayekuja kukutembelea atajisikiaje na atakuonaje wewe mwenjeji?Mimi mwenyewe sielewi Kwa Nini watu wanafuata maeneo hayo.
Kuna siku mwaka 2014 nikapita kiwanda Cha ngozi Moshi (sio Cha Kilimanjaro Leather) siku hiyo walikuwa wanatoa maji ya kulowekea ngozi. Harufu yake ni balaa, Ila pembeni ya kiwanda watu wanaishi kama kawaida.
Iringa eneo la Donbosco-Mawelewele Kuna mabwawa ya maji taka. Maji ya chooni yanamwagwa huko na harufu yake unaipata ukiwa mbali. Huwezi amini ndo kwanza wenye serikali Yao wanajenga hukohuko. Inaonekana "hatujali"
Kweli we utakuwa ujaingia uchumi wa kati Kama Bado unatembea na wakurya wanaoshi kwa diwani bomba mbiliAhahahaha
Napasikia tu wakati napita kuelekea Kwa diwani ndani ndani kwa mchepuko wangu
Unaishi Au Unajiharibu Afya..Mradi, naishi na nnanyumba dar
[emoji1787][emoji1787]Kweli we utakuwa ujaingia uchumi wa kati Kama Bado unatembea na wakurya wanaoshi kwa diwani bomba mbili
Tafuta hela hizo Mbususu chafu uzikimbie
Unawafuata wanawake wa hovyo halafu unashangaa wanaokaa hayo maeneoHabari!
Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo.
Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana.
Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia?
Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi maeneo yenye harufu mbaya kiasi kile?
Je, viwanja wananchi walipewa bure?
Au wananchi wamepewa fidia lakini wamegoma kuhama?
Siwezi kuafiki kuwa mtu timamu anaweza kuweka makazi ya kudumu maeneo ya jalalani.
Kama ukipita barabarani tu harufu ni kali je huko ndani wanaoishi jalalani kabisa!!
Hahahahah akili za Watanzania wa VijijiniMradi, naishi na nnanyumba dar
Hii box 2 mkuuHarufu mbaya kuna namna fulani mwili 'unaizoea' baada ya kuishi nayo kwa kipindi flani. Nakumbuka nikiwa naanza fom dala shule moja, palikuwa na vyoo maarufu kama milango tisa, vya shimo tu, na havina milango kabisa japo vilikuwa vinatumika, hususan mida ya usiku. Harufu ni kali; nikawa siwaelewi wanafunzi wanaomudu kula chakula jirani kabisa na maeneo hayo. Baada ya miezi kadhaa kupita nikazoea hiyo hali na kujikuta miongoni mwa wanaokaa sehemu hiyo na kupata menyu huku stori za hapa na pale zikiendelea. Japo kuzoea huko hakumaanishi kutokuwepo kwa madhara ya harufu husika.
AhahahahaKweli we utakuwa ujaingia uchumi wa kati Kama Bado unatembea na wakurya wanaoshi kwa diwani bomba mbili
Tafuta hela hizo Mbususu chafu uzikimbie
Box 2 Songea Boys hiyo daaa kitambo sana,niliishi Azimio Four pale enzi hizo,uzuri sisi tulikuwa na Milango(Choo) yetu ya kujitegemea[emoji1787][emoji1787]
Harufu mbaya kuna namna fulani mwili 'unaizoea' baada ya kuishi nayo kwa kipindi flani. Nakumbuka nikiwa naanza fom dala shule moja, palikuwa na vyoo maarufu kama milango tisa, vya shimo tu, na havina milango kabisa japo vilikuwa vinatumika, hususan mida ya usiku. Harufu ni kali; nikawa siwaelewi wanafunzi wanaomudu kula chakula jirani kabisa na maeneo hayo. Baada ya miezi kadhaa kupita nikazoea hiyo hali na kujikuta miongoni mwa wanaokaa sehemu hiyo na kupata menyu huku stori za hapa na pale zikiendelea. Japo kuzoea huko hakumaanishi kutokuwepo kwa madhara ya harufu husika.