Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
UmenikumbushaMimi mwenyewe sielewi Kwa Nini watu wanafuata maeneo hayo.
Kuna siku mwaka 2014 nikapita kiwanda Cha ngozi Moshi (sio Cha Kilimanjaro Leather) siku hiyo walikuwa wanatoa maji ya kulowekea ngozi. Harufu yake ni balaa, Ila pembeni ya kiwanda watu wanaishi kama kawaida.
Iringa eneo la Donbosco-Mawelewele Kuna mabwawa ya maji taka. Maji ya chooni yanamwagwa huko na harufu yake unaipata ukiwa mbali.
Huwezi amini ndo kwanza wenye serikali Yao wanajenga hukohuko. Inaonekana "hatujali"
La liga
Haki tunatoka mbali[emoji1787]