Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
UmenikumbushaMimi mwenyewe sielewi Kwa Nini watu wanafuata maeneo hayo.
Kuna siku mwaka 2014 nikapita kiwanda Cha ngozi Moshi (sio Cha Kilimanjaro Leather) siku hiyo walikuwa wanatoa maji ya kulowekea ngozi. Harufu yake ni balaa, Ila pembeni ya kiwanda watu wanaishi kama kawaida.
Iringa eneo la Donbosco-Mawelewele Kuna mabwawa ya maji taka. Maji ya chooni yanamwagwa huko na harufu yake unaipata ukiwa mbali.
Huwezi amini ndo kwanza wenye serikali Yao wanajenga hukohuko. Inaonekana "hatujali"
π π πIle harufu inashibisha, matumizi ya pesa kwenye chakula yanakuwa madogo sana!
90% ya Dar Es Salaam NI CHAFU, INANUKA.Habari!
Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo.
Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana.
Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia?
Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi maeneo yenye harufu mbaya kiasi kile?
Je, viwanja wananchi walipewa bure?
Au wananchi wamepewa fidia lakini wamegoma kuhama?
Siwezi kuafiki kuwa mtu timamu anaweza kuweka makazi ya kudumu maeneo ya jalalani.
Kama ukipita barabarani tu harufu ni kali je huko ndani wanaoishi jalalani kabisa!!
Maeneo kama hayo mfano mabwawa ya maji taka yanapaswa kujengwa mbali na makazi ya watu ila hata yakijengwa huko maadam miji inakua na kutanuka kwa kasi Kuna kipindi watafikiwa tu.Mimi mwenyewe sielewi Kwa Nini watu wanafuata maeneo hayo.
Kuna siku mwaka 2014 nikapita kiwanda Cha ngozi Moshi (sio Cha Kilimanjaro Leather) siku hiyo walikuwa wanatoa maji ya kulowekea ngozi. Harufu yake ni balaa, Ila pembeni ya kiwanda watu wanaishi kama kawaida.
Iringa eneo la Donbosco-Mawelewele Kuna mabwawa ya maji taka. Maji ya chooni yanamwagwa huko na harufu yake unaipata ukiwa mbali.
Huwezi amini ndo kwanza wenye serikali Yao wanajenga hukohuko. Inaonekana "hatujali"
Harufu haiiishi ila wanazoea. Ukienda wewe mgeni utashangaa sana na kufunika pua, wenyeji walishazoea...Watoto kuanzia kuzaliwa na kukua ni mazingira hayohayoIla iyo harufu inaenda kisha inaisha,nakumbuka kule kigogo dampo mapera kulikuwa na dampo nilikuwa nikipita harufu ilikuwa kali kweli,ila baada ya lile dampo kufungwa hali ya hewa imekuwa sio mbaya,nilitegemea zile nyumba zilizokuwa pembeni miaka ile nisingezikuta lakini ndio ivyo watu wamejenga hadi karibia na dampo lenyewe watu wamejenga
Wenda mchawi yeye mwenyewe ila hajijui, uchawi siyo kitu kinachoonekana, tabia yako tu ya kuchukia watu bila sababu nao ni uchawi.[emoji15][emoji15][emoji15]wamekukosea nini watu wa mbagala au unahadithiwa hujafika??
Wale jamaa huwa siwaelewi aisee, yaani gari likipita unajisikia vibaya sana kutokana na harufu lakini ndani unaona watu wamekaa kwa kutulia na wanapiga story