Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule kwetu kuna dawa wazee waliwahi kunisimulia kuwa ipo mtu analukula ile dawa hata augue vipi hafi mpaka ampate mtu ambae anampa kwa kuitema na kumlisha ndipo anakufa nje ya hapo hafi ndo maana unakuta anamtaka fulan aje ndo kipenzi chake fuatilia maisha ya hao walioitwa na marehemu waliogoma kufa mpaka mtu fulan aje wanakuwa na umri mrefu sana wengine dawa anaiweka chin ya ardh anapanda mti wa mwembe akishakuwazee na anaumwa hafi mpaka amwite mtu maalum anaemtaka yeye ndo ampe siri then utasikia tuukate mti huu jaman mzee kaagiza yapo mengi ngoja leeo niishie hapa sisi wahenga tunagomaga kufa sio mtu unakufa kufa tu dunia tamu hii ipo pia ya kugoma kuzeeka hahaaaaaa njoon wanaume wa dsm na wadada niwauzieAsalaam!
Rejea mada tajwa hapo juu. Kuna suala moja nimejihoji kwa muda mrefu lakini sijapata jawabu kutokana na visa vikuu viwili nilivyovishuhudia mwenyewe.
Mwaka 2013 mkoani Mbeya, Baba yetu mkubwa aliugua sana. Alizungushwa hospital nyingi sana pasipo mafanikio.
Mara ya mwisho ilikuwa MNH ambapo alishauriwa kurudi nyumbani ili walau ndugu wahangaike na tiba ya upande wa pili.
Mzee yule alikuwa akisema natamani kufa lakini kabla sijafa nataka kumuona mwanangu wa mwisho Asubhisye ambaye alikuwa Tanga. Ilibidi aitwe na aliporudi nyumbani Asubhisye aliongea nae na Mzee akachangamka kweli. Cha ajabu kesho yake alifariki.
Kisa cha pili nilikishuhudia kwa baba mwenye nyumba enzi nafanya kazi Geita mwishoni Mwa mwaka 2013. Mzee yule aliitwa Kachila alikuwa Muha wa Kasulu huko. Aliugua sana na matibabu yalishindikana.
Alikuwa kila Mara akisema naombeni muende Ukerewe mkaongee na Mke wangu amlete mtoto nimuone. Miaka mitatu nyuma alitengana na mkewe ambaye alikuwa mjamzito na tangu aondoke hakuwahi kurudi hata baada ya kujifungua.
Baada ya matakwa yake kutekelezwa naye alifariki baada ya siku moja.
Sasa najiuliza...je kuna mahusiano gani kati ya kukata roho na kumuona MTU unayemhitaji?
Kwa visa tajwa hapo juu, je nawe umewahi shuhudia au ni coincidence tu niliyokutana nayo?
Karibuni tueleweshane na kubadilishana uzoefu katika hili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wapenzi kila anachopost mwenzake lazima apigwe Cc...
SimioniNilisoma kwenye Bible kuna mzee mmoja alikuwa anakaa hekaruni akisubiri Yesu azaliwe,
Alipomuona tu akamshika mkononi akasema "sasa Bwana waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani" This means IMANI HUTENDA
![]()
Private geologist
Kinachotokea ni mawasiliano ya kiroho katika mwili uharibikaoIn short hao wote walikua wame sell their souls to the devil.
Wanachofanya ni kuacha maagizo na Mikoba iendelee kwa kizazi kijacho walichokikabidhi kama kanuni inavyowataka kwenye ukoo na mila za matambiko.
Na Roho zao wanazikabidhi baada muda mfupi waliokaa hapa duniani wakitumikia.
Na kinachowatokea sio natural death/God's plan.
Reason:- Hakuna mwanadamu mwenye uwezo WA kuamua afaje.
Cc mshana jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha...you made my day!Kule kwetu kuna dawa wazee waliwahi kunisimulia kuwa ipo mtu analukula ile dawa hata augue vipi hafi mpaka ampate mtu ambae anampa kwa kuitema na kumlisha ndipo anakufa nje ya hapo hafi ndo maana unakuta anamtaka fulan aje ndo kipenzi chake fuatilia maisha ya hao walioitwa na marehemu waliogoma kufa mpaka mtu fulan aje wanakuwa na umri mrefu sana wengine dawa anaiweka chin ya ardh anapanda mti wa mwembe akishakuwazee na anaumwa hafi mpaka amwite mtu maalum anaemtaka yeye ndo ampe siri then utasikia tuukate mti huu jaman mzee kaagiza yapo mengi ngoja leeo niishie hapa sisi wahenga tunagomaga kufa sio mtu unakufa kufa tu dunia tamu hii ipo pia ya kugoma kuzeeka hahaaaaaa njoon wanaume wa dsm na wadada niwauzie
Sent using Jamii Forums mobile app
We hata akija hufi unaoza viungo tu moyo unapiga kaziIla cha msingi ni kusubiri siku yako ya kukaribia kukutana na Ziraili mtoa roho,kwani hiyo haina mazoezi wa uzoefu.
Mimi nilihadithiwa, ndugu aliyekufa akafufuka, kisa hajamalizia kutoa ahadi yake kanisani na walipo mlipia akafa.Asalaam!
Rejea mada tajwa hapo juu. Kuna suala moja nimejihoji kwa muda mrefu lakini sijapata jawabu kutokana na visa vikuu viwili nilivyovishuhudia mwenyewe.
Mwaka 2013 mkoani Mbeya, Baba yetu mkubwa aliugua sana. Alizungushwa hospital nyingi sana pasipo mafanikio.
Mara ya mwisho ilikuwa MNH ambapo alishauriwa kurudi nyumbani ili walau ndugu wahangaike na tiba ya upande wa pili.
Mzee yule alikuwa akisema natamani kufa lakini kabla sijafa nataka kumuona mwanangu wa mwisho Asubhisye ambaye alikuwa Tanga. Ilibidi aitwe na aliporudi nyumbani Asubhisye aliongea nae na Mzee akachangamka kweli. Cha ajabu kesho yake alifariki.
Kisa cha pili nilikishuhudia kwa baba mwenye nyumba enzi nafanya kazi Geita mwishoni Mwa mwaka 2013. Mzee yule aliitwa Kachila alikuwa Muha wa Kasulu huko. Aliugua sana na matibabu yalishindikana.
Alikuwa kila Mara akisema naombeni muende Ukerewe mkaongee na Mke wangu amlete mtoto nimuone. Miaka mitatu nyuma alitengana na mkewe ambaye alikuwa mjamzito na tangu aondoke hakuwahi kurudi hata baada ya kujifungua.
Baada ya matakwa yake kutekelezwa naye alifariki baada ya siku moja.
Sasa najiuliza...je kuna mahusiano gani kati ya kukata roho na kumuona MTU unayemhitaji?
Kwa visa tajwa hapo juu, je nawe umewahi shuhudia au ni coincidence tu niliyokutana nayo?
Karibuni tueleweshane na kubadilishana uzoefu katika hili!
Sent using Jamii Forums mobile app
UDOM FE 311critical thinking and argumentation.Kwa Udsm hii ni PL100