Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

Mambo ni matatu mkuu..
Ukinpotezea wakatii Mimi nlikua serious nakuomba msamaha nakuja kwenu kutoa posa nakukula nakimbia kwani posa ni shingapi...!!

Hi I viumbe vikigundua unavipenda vinabadilika haraka sana...
 
Uyo rubani kaolewa na aliens?
 
Njaa mbaya na tamaa za kifala za mabinti wa familia za kijinga ndio maana wahuni wanaishi uchumba Sugu piga mimba mfululizo mpaka wazee wanaona eeeh leteni tu hata hio Million 1 inatutosha mchukue muoe tu,
 
Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
Mkuu mambo ya mahusiano ni siri ya wawili,
Hapa mtaani kuna mwamba kagairi kuoa na posa + mahari kasamehe!Nduku wakimuuliza sababu hanyooshi maelezo.
Siku akaja kufunguka kwa sie wanae tena baada ya kula k_vant za kutosha ndo akaropoka kuwa alimfuma mkewe mtarajiwa na dildo lina urefu futi 1 na ky gelly imetumika nusu,jamaa anasema dildo lilikua linanuka mavi tupu
 
Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
Opportunity Cost imetumika vizur practically. Jamaa alikua practical ya uchumi na Biashara
 
Ata iyo tano kubwa..adai m3 yake ..ukweni wabaki na m2
 
Baadhi wa Wanawake hawanaga akili kabisa
 
Milioni tano bado kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…