[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kambaIpo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
🤣😂😂😂 pale unapotaka kuoa likulumbembeMkuu mambo ya mahusiano ni siri ya wawili,
Hapa mtaani kuna mwamba kagairi kuoa na posa + mahari kasamehe!Nduku wakimuuliza sababu hanyooshi maelezo.
Siku akaja kufunguka kwa sie wanae tena baada ya kula k_vant za kutosha ndo akaropoka kuwa alimfuma mkewe mtarajiwa na dildo lina urefu futi 1 na ky gelly imetumika nusu,jamaa anasema dildo lilikua linanuka mavi tupu
Walitaka kumfanya mtaji kisa wamesikia rubani, wabongo shureni warisomea ujinga 🤣🤣🤣🤣Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Aliwaambia kwamba ana laki 7 tu au hakusema akaondoka zake. Wao wangejuaje kama anaweza afford laki 7 au elfu hamsini au hawezi hata mia.Kuna jamaa alienda kuposa akapangiwa posa mil 2.5 ilikuwa mwaka jana na mpaka leo jamaa hajarudi.
Jamaa yupo kutoa mahali ya isiyozidi laki 7..!!!
#YNWA
kuoa mwanamke mwenye mtoto sio tatizo kama kaliweka swala wazi. Vipi anaeficha ?! Ikibainika je, hana hatia ?!Punguza jaziba Basi..kwani kuoa mke mwenye mtoto ni dhambi mbona nyny mnaoa huku mnawatoto kibao
Mtu mpaka unaoa unapaswa uwe umemchunguza nje ndan.kuoa mwanamke mwenye mtoto sio tatizo kama kaliweka swala wazi. Vipi anaeficha ?! Ikibainika je, hana hatia ?!
Anaoa elimu au mwanamke?
Akili za kijinga hiziGharama ya kumsomesha rubani ni milioni 200 kwa miaka yote minne, na serikali haikulipii, unalipa.
Chuo kipo Tanzania, practical mnafanya Afrika kusini kwa gharama zako, hakuna mtoto wa masikini anayeweza kusomea urubani.
So hata ungekuwa wewe, ungekubali mwanao rubani aolewe kwa milioni moja?
#NAKAZIA[emoji1009][emoji375]Tuonewe huruma mkuu,wanawake wanaloga kichizi siku hizi,Ukiona tumeoa sehemu nyingine ujue ni kulogwa tu na si vingine.
Si utapata mwingine?Haikatazwi kubadilisha mawazo mkuu. Lakini kwann hadi afikie hatua kubwa kama hiyo afu aniache solemba[emoji848]. Aisee asinijaribu kabisa
Kama unahisi unaelewa zaidi ya wengine kwenye hilo basi umepotea, mwanaume yeyote yule akitaka kuoa ataoa mwanamke na sio elimu yake.Kuoa ni sawa na kumnunua mtu.
Kuoa ni kununua mtoto mpya kisheria
Ndio maana anaitwa doughter in Law ama Son in law.
Sasa mtoto mwenye elimu value yake ni kubwa kuliko mtoto asiye na elimu.
Posa na Mahari kizungu inaitwa bride price.. yaani bei ya kumnunua mke
Mke mwenye elimu ya gharama ni sahihi kuuzwa kwa bei ya gharama.
Labda kama huelewi maana ye neno bride price ?
100 ml [emoji848]...Ipo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwani lazima ?Sasa no bora anaesema kwamba nimeshindwa Kwa sababu hii na hii. Sio jitu linakuja linatoa posa afu linapotelea kusikojulikana
Hii kauli huwa sitaki kabisa kuisikia.... Kuna binti mmoja nilionesha dalili za kumchumbia (umri atakuwa kagonga 28,,, maana ukimtizama waona kabisa gazeti jioni)Ukimpenda mwanamke huwezi kukimbia
Milionn100 duh utasema ananunua ng'ombe anaenda kukamua maziwaIpo posa tulimpeleka mshkaji flani 2 yrs ago, ke alikuwa rubani, tulipokelewa vizuri kufikia mahari jamaa akapigwa bill ya 100M , ndio hujakosea ulichosoma millioni mia moja ,alipotoka pale alienda moja kwa moja mazima hajarudi hadi leo.
Tunavoongea ameoa bank teller wa CRDB mahari alitoa millioni tano tena alitaka yy,hawakumpangia bei ,
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tuonewe huruma mkuu,wanawake wanaloga kichizi siku hizi,Ukiona tumeoa sehemu nyingine ujue ni kulogwa tu na si vingine.