Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

Papa, askofu, sheikhe, ostadhi ni binadamu kama wewe, tofauti ni ile elimu aliyonayo tu, kukosea ni kawaida.. Huweza wanakosea hadharani au siri siri
Sote tunakosea, kikubwa ni kujitahidi kuepuk/kupunguza.

Japo haipendezi kiongozi wa kidini, kijamii, muumini(mcha mungu) kukosea mbele za watu, hiyo ni dalili ya upungufu wa iimani ama ibada unazofanya.

Asili ya ibada ni kukukataza mabaya ufannye mema, ukiona mtu anasali lakini bado habadiliki basi iibada yake haina athari kwake, huenda aswali kwa dhat/yakini
 
Amen!!
 
Ungejua hao manabii mambo yao ya sirini na wao naona ungedondosha macho kabisa.
 
Unashangaa vichaka vya watu?
 
akifanya jambo mwinginee weye waliona kosa..ili hali nawe wafanya
 

Hiyo tangu wiki ilopita mbona nilileta uzi huku wa tetesi naona mods walipita nao fasta:ila jamaa kwa heshima yake na kanisa lake alishauriwa asamehe maana kwa alivyojijenga kimadhabahu ili kuaminika akifanya maamuzi ya ghafla ndio kwisha na kanisa lake
 
🤣
 
Manabii wenyewe wanawala vibaya mno..
 
Jambo la ajabu ni kwamba watu wanatoka kwa Mwamposya,au kwa Kuhani Musa au kwa huyu Mbunge machachari wa Kawe nani,ah,Gwajima: hawasalimiani kabisa. Kila mtu anarudi nyumbani kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…