Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ina maana wanaowanasa ni Wapendwa wenzao?!!!.[emoji1787]
Huko wanakokwenda kujificha ndiko wananaswa na wenzao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wanaowanasa ni Wapendwa wenzao?!!!.[emoji1787]
Huko wanakokwenda kujificha ndiko wananaswa na wenzao
Chalii angu, DO NOT underestimate nguvu ya mbunye... ni zaidi ya sumaku kwenye chuma!!
-Kaveli-
Amen!!Papa, askofu, sheikhe, ostadhi ni binadamu kama wewe, tofauti ni ile elimu aliyonayo tu, kukosea ni kawaida.. Huweza wanakosea hadharani au siri siri
Sote tunakosea, kikubwa ni kujitahidi kuepuk/kupunguza.
Japo haipendezi kiongozi wa kidini, kijamii, muumini(mcha mungu) kukosea mbele za watu, hiyo ni dalili ya upungufu wa iimani ama ibada unazofanya.
Asili ya ibada ni kukukataza mabaya ufannye mema, ukiona mtu anasali lakini bado habadiliki basi iibada yake haina athari kwake, huenda aswali kwa dhat/yakini
Unashangaa vichaka vya watu?Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
Au sioKawaida sana hiyo mwanangu
Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
🤣Hiyo tangu wiki ilopita mbona nilileta uzi huku wa tetesi naona mods walipita nao fasta:ila jamaa kwa heshima yake na kanisa lake alishauriwa asamehe maana kwa alivyojijenga kimadhabahu ili kuaminika akifanya maamuzi ya ghafla ndio kwisha na kanisa lake
Manabii wenyewe wanawala vibaya mno..Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
Jambo la ajabu ni kwamba watu wanatoka kwa Mwamposya,au kwa Kuhani Musa au kwa huyu Mbunge machachari wa Kawe nani,ah,Gwajima: hawasalimiani kabisa. Kila mtu anarudi nyumbani kwake.Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahKinachookoka ni nafsi na roho,
Mwili(mbususu na abdala kichwa wazi) havijawahi kuokoka