pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Miye kuna mwanaume namfahamu kazaliwa 1974 mpaka mda huu anagirlfriend sasa huyu tumuweke kundi gani? coz ana maisha mazuri cc wanawake baadhi yetu unakuta tumeumizwa vibaya thats y mtu unadicide uishi mwenyewe utafute tu mtoto uwe single mama maisha yasonge so sioni umuhimu wowote wa kuoa/ kuolewa by da way msiogope majukumuhaha hakuna anayeogopa majukumu... mwanamke hata akifikisha miaka 30 hajaolewa siwezi kushangaa...ila zaidi ya hapo lazima kuna tatizo ila sio kwa mwanaume.
Miye kuna mwanaume namfahamu kazaliwa 1974 mpaka mda huu anagirlfriend sasa huyu tumuweke kundi gani? coz ana maisha mazuri cc wanawake baadhi yetu unakuta tumeumizwa vibaya thats y mtu unadicide uishi mwenyewe utafute tu mtoto uwe single mama maisha yasonge so sioni umuhimu wowote wa kuoa/ kuolewa by da way msiogope majukumu
Unapoumwa na nyoka ukiona jani lazima ushituke so jua kuna maisha zaidi ya kuoa/ kuolewa hivyo ni maamuzi ya mtu mwenyewe na muda ukifika regadless una miaka above 30 or wheter pia ni majaliwa yake Mungukwa hiyo nyie mkiumizwa mkiumizwa ruksa kubaki single.... umejuaje kama huyo mwanaume naye hakuumizwa? hali iliyopelekea achelewe kuoa..!! wanaume wengi hufanya mambo yao kuwa siri...wahaaniki kila kitu, so unapomwona katika hali ambayo si ya kawaida ujue kuna jambo, si kwamba tunaogopa majukumu .. na kuwa na maisha mazuri si kigezo cha kuweka mke ndani.
siku nikipata mwanamke mkweli,hana chembechembe za unafiki,hana tamaa uliyopitiliza,atakaenikubali kwa ulofa wangu,anaejua maisha ni kitu gani,atakaenikubali kwa shida na raha toka moyoni,ntaoa,
sitochukua hata wiki ntaoa,
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unakuwa na pesa za kutosha, umefika miaka 30 hadi 40 hapo katikati, lakini bado unashangaa anakuwa na girl friend tu, au pengine hata halijaoa?
Hivi huwa ni tatizo gani, huwa yananikera halafu dah.
Nilikuwa nasoma na jamaa mmoja hivi, watoto wa huko masakimasaki huko anajifanya mwenyewe ni mambo safi, lakini story zake zote "my girlfriend".
Wenzake tumeoa tangu tukiwa na 25 wakati hata maisha hayajawa mazuri na maisha yameboreka kuwa mazuri tukiwa ndani na wake zetu kwa kushirikiana na wake zetu kujenga maisha.
Sasahivi tuna watoto wakubwa kabisa tunahangaika kusomesha yeye hana mtoto anabadilisha tu wasichana, hela anayo, lakini akili ya kuoa hana.
Wanaume wenzangu mnakera sana wakati mwignine.
Unapoumwa na nyoka ukiona jani lazima ushituke so jua kuna maisha zaidi ya kuoa/ kuolewa hivyo ni maamuzi ya mtu mwenyewe na muda ukifika regadless una miaka above 30 or wheter pia ni majaliwa yake Mungu
msiwe mnawasema single mama ama wadada above 30ambao hawajaamua kuingia maisha ya ndoa kwa maneno yalsiyokuwa na maana coz kuoa ama kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi hivyo mkuki usiwe kwa nguluwe tu kwa binadamu ukawa mchungu uwe na jumapili njemahapo umegusia point....sio mwanzo ilikuwa unawashutumu tu bure wanaume....sasa naona umeishagundua kuwa wapo sahihi.
Hivi Zitto Kabwe ameshaowa?
msiwe mnawasema single mama ama wadada above 30ambao hawajaamua kuingia maisha ya ndoa kwa maneno yalsiyokuwa na maana coz kuoa ama kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi hivyo mkuki usiwe kwa nguluwe tu kwa binadamu ukawa mchungu uwe na jumapili njema
Kwani wewe baba Samira ushaoa?
Btw, Samira hajambo?
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Uamuzi wa kuoa sasa hivi sina talalalalaaa, am just singing.
Btw Samira hajambo atashukuru Anko ukimtumua japo raba mtoni.
NaamUsije ukashawishika kuoa kwa kufuata mkumbo, utajuta. Kujipanga Muhimu