Pamoja na hayo kwani ameshindwa kuingia darasani au ametoa materials substandard? Acheni Husda.Upo sahihi mkuu,Kuna mambo kama mwanaume sio ya kushadadia.
Nimeshuhudia mwalimu wa kiume eti kajichubua.
Dume Zima umejaza vikopo vya lotion,pafyumu kwenye dressing table!
Mwanamume unatakiwa kuwa smart kimwonekano,lakini Kuna mambo engine hayo ni ya kike kutokana na sababu za kimaumbile.So unamaana wanaotumia perfume watabadilika kuwa mashoga, huo ni mtazamo wako ambao huwezi kuprove kama ni valid.
Mkuu hata shoga kwani anashindwa kuingia darasani?Pamoja na hayo kwani ameshindwa kuingia darasani au ametoa materials substandard? Acheni Husda.
Kuwa Smart ni pamoja na hayo uliyoyabeza. e.g. Wapo wanaume wanatatizo la kikwapa. Sasa wewe ambaye huna hilo tatizo huwezi kuelewa sababu ya mwenzako kutumia perfume. Cha ajabuzaidi, hakuna kati yenu anayethubutu kumuuliza mhusika. Mnaranda-randa tu kwenye corridor na matusi yenu.Mwanamume unatakiwa kuwa smart kimwonekano,lakini Kuna mambo engine hayo ni ya kike kutokana na sababu za kimaumbile.
Sasa unakuta dume Zima limejichubua,ananukia manukato utafikiri demu.
Kichwani Katia pico.
Hayo yote unatafuta nini?
Nilidhani kwamba anashindwa ku-perform kwa sababu kajipuliza perfume au amejichubua.Mkuu hata shoga kwani anashindwa kuingia darasani?
Mengine haya ni ya wanawake
Nanukia ni muhimu kwenye matukio maalumuKwa mkuu unataka unukie!?
Shoga,wezi,wachawi,wauaji wote ni binadamu kama sisi,Hivyo nao wanafanya shughuli zote za kibinadamuNilidhani kwamba anashindwa ku-perform kwa sababu kajipuliza perfume au amejichubua.
Wazee wakishaanza kuzeeka wanataka sisi vijana mashababi tufanane nao tusijipende tunuke vikwapa tuwe na sura kama kenge, tunuke kama vibambala, mafuta mazuri, perfumes sio ushoga, mimi najipenda na ninapeleka moto kama kawa sijawahi kupungukiwa nguvu za kiume kisa kulinda ngozi yangu.Semen hatuna hela sio mnazingizia ushoga sijui nini, bas kama ni hvyo mwanaume umebaki pekee yako na wale wachoma mkaa,
Kibunda ninacho alafu unipangie matumiz shenzii nini
Oya njoo gheto perfum ya laki 6, mafuta ya kupaka ya laki 5, hela ipo shida nini
Endeleen kunuka vikwapa kama beberu huku mkijiliwaza na ushoga tafuten fedha sio hela tafuta fedha
Sio vyema hata hivyo kuingilia privacy ya mtu.Shoga,wezi,wachawi,wauaji wote ni binadamu kama sisi,Hivyo nao wanafanya shughuli zote za kibinadamu
Kinachotofautisha ni tabia za asili TU.
Ushoga katika jamii nyingi,Imani mbalimbali si jambo jema.
Hivyo hata uki- perform namna Gani bado hutaonekana mwema
Bora umeamua kujilipua na uheshimiwe mkuu. Hakuna nywinywi wala nywi nywi nywi. Nilimsikia akisema Who are you.Wazee wakishaanza kuzeeka wanataka sisi vijana mashababi tufanane nao tusijipende tunuke vikwapa tuwe na sura kama kenge, tunuke kama vibambala, mafuta mazuri, perfumes sio ushoga, mimi najipenda na ninapeleka moto kama kawa sijawahi kupungukiwa nguvu za kiume kisa kulinda ngozi yangu.
Privacy zinazohusu asili hazina shida. Zingine ni kinyume na asiliSio vyema hata hivyo kuingilia privacy ya mtu.
Mungu hana shida-atakujalia kama ulivyoomba na kwa wakati unaofaa. Hata wale watu wa Sodoma na Gomora walipata walichostahili kwa wakati unaofaa.Privacy zinazohusu asili hazina shida. Zingine ni kinyume na asili
Mkuu Kuna mambo mengine sio ya kuyatetea ila ngoja yaende TU kama yanavyoenda
Lakini namwomba Mungu katika uzao wangu aniepushie mbali na haya madhila
Kikao cha wanawake, tutakub…. ukiwa pekeyako.Haina tatizo lolote ndo mana wengine wanatumia na wengine hawatumii. Usisahau kunialika kwenye hiko kikao - huenda nikawa jembe kwenye iyo Agenda.
Waache wivu kwa sisi vijana muda wao umepita, waache kusingizia utanashati na vitu vya kipumbavu.Bora umeamua kujilipua na uheshimiwe mkuu. Hakuna nywinywi wala nywi nywi nywi. Nilimsikia akisema Who are you.
Haya mambo huja na kupita kama upepo. Soon hata vijana wa sasa watazeeka halafu watawashangaa watoto(Vijana) waliowazaa.Waache wivu kwa sisi vijana muda wao umepita, waache kusingizia utanashati na vitu vya kipumbavu.
Ni unafiki tu kila mambo na zama zake, kama ni mtu wa kutatuliwa marinda utatuliwa tu hata ukiwa ujipendi, ukiwa unanuka kama beberu watu watakula kinyeo tu.Haya mambo huja na kupita kama upepo. Soon hata vijana wa sasa watazeeka halafu watawashangaa watoto(Vijana) waliowazaa.
Oh! Asante siji aisee. Kumbe ni clausura/clavsuraKikao cha wanawake, tutakub…. ukiwa pekeyako.
Mbingu Na Ardhi Vinatikisika ...LaanaTuLah 👿Ni unafiki tu kila mambo na zama zake, kama ni mtu wa kutatuliwa marinda utatuliwa tu hata ukiwa ujipendi, ukiwa unanuka kama beberu watu watakula kinyeo tu.