Inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Mbingu Na Ardhi Vinatikisika ...LaanaTuLah 👿
Tujipende lakini tusivuke mipaka kujichubua kwa mwanaume sio poa wala kujilinganisha na wanawake sio vizuri, jipende, vaa vizuri, kula vizuri, nukia vizuri, tunza ngozi kwa njia salama, fanya kazoezi kidogo,kuwa na toto lako kali la 2005 la kukupa raha na amani bila kelele.
 
Kwishaa Enyewe.... 😄🤟 GenZ Wa 2005🤣
 
Duh! Mungu apishilie mbali. Hiyo fasheni sio ya kuiga au kumwacha kijana wako aige - huo ni ujinga.
Kweli kabisa mkuu. Haya mavijana yanayopenda fasheni na mijipodoo ya kike ni shida ktk taifa hili.
 
Hahaha mkuu... Mimi nitetee kidogo kuna watu tuna shida ya nywele kujikunja sana zinakuwa kipililipili,kama ni matukio makubwa kubeba kitana in case of emergency uweke nywele sawa ni ushoga?
Mind you hata mafuta hapa sipaki nina mwaka karibu wa tatu ni mara moja moja sana nina Vaseline yangu ya aloe Vera ndio siku nikijiskia napaka,sina perfume , mafuta ya nywele nimeanza kutumia mwaka jana tu na yenyewe sio kila siku.
Naomba misaada definition ya ushoga ,mwanaume kuvaa vizuri kunukia perfume sio dhambi.. Ila mwanaume kuhangaika sana na mapowder ndio tunaanza kuona maajabu ya kipa kugawa kadi 😂😂😂
 
Siku hizi wanatoboa pua, tena pua zote mbili na kuvaa hereni na kusukuka na ku-bleach nywele. Unakuta njemba na ndevu lakini nywele za njano au pink🤮🤮.
Unakuta njemba imevaa blouse 👚 na kisuruali ki-don't touch kimebana matako inatembea kimadaha🤮🤮.
 
Halafu haya machoko huwa hayana aibu kabisa. Siku moja nilikutana na ***** limevaa hereni mchana kweupe ndani ya basi ikabidi nishuke niahirishe safari.
 
Hawa mapunga washindwe na walegee kwa jina la Yeau wa Nazareth aliye hai.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…