Kuna watu kama wanne hivi wa karibu ninaofahamiana nao, hao wanaume aisee wako vizuri kifedha, wana nyumba wana magari mazuri ya kutembelea na biashara wanazo zinazowaingizia pesa mingi.
Sasa kinachonishangaza ni kuwa hao wote wana-struggle kupata wadada wa kuwa nao kwenye mahusiano, pamoja na ukwasi walionao, wanalalamika kuwa wanaishia kuliwa hela zao na kukimbiwa, halafu papuchi hawapewi hata Mara moja.
Wanajaribu kila njia lakini wapi, tena hao wadada wanaowakataa wanajua kuwa hao jamaa wako vizuri kipesa, ila ndo hivo tena..kimuonekano, hao jamaa naweza kusema wako smart tu na wana sura za kawaida...