Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Pesa haijawahi kumaliza matatizo bali inapunguza tu. Mapenzi sio pesa unatakiwa kuwa mjanja kwenye vitu vingine usitegemee pesa kumaliza kila tatizo wanawake wanataka watu romantic,sharing, caring, passionate nk.. sasa vitu hivi havihitaji pesa ni ufundi tu unatakiwa hapa na ujanja ujanja kwenye hii tasnia. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Halelluyah
 
Hao jamaa ni kuwa wameshindwa kuwa tambua wife material bali wanaangalia tu uzuri wa wanawake
 
Waambie hao jamaa zako waje Mjini huku hakuna kitu hawatapewa kama Mpunga upo yani ata wakitaka kwenda rough road watapewa tu afu kuna watu wana mambo ya kijinga sana mtu hela ipo still unakuta anahangaika na vitu vibovu
Ila for long term relationship ni Ngumu sana kupata ukisha ukwaa ukwasi
 
... .Wengine vigezo n masharti
Mwiko kuoa.
Angalia vijana matajiri hata wa Nigeria Kuna kitu utagundua .
 
Kuna vitu vitatu ambavyo ukiwa navyo au ukivielewa utawabadilisha wanawake utakavyo.

Looks * Assets * Game

Ukiweza kuwa navyo vyote vitatu ni nzuri zaidi, ikishindikana angalau uwe na viwili, kama ikitokea una kimoja tu basi jitahidi iwe Game.

Game na yenyewe ipo sehemu mbili, verbal game ambayo ndio mambo yote ya kutongoza na sexual game mambo ya 6*6 jinsi unavyopiga mashine.

Hao maboss wenu hapa ndipo wanapofeli, kuna mtu muonekano upo, uchumi umesimama lakini akifungua mdomo tu kuongea na mwanamke, yaani mrembo hapo hapo anajua kwamba huyu jamaa boya hana uzoefu na wanawake au vile anavyoongea nae,mrembo anajua mchizi hana confidence na kuamua kama ni kumpa k lazime amzungushe au kumchuna na kumpotezea.

Na kuna mtu akiongea na mrembo dakika 2 tu anakuwa tayari ameshajua kwamba hapa inawezekana ata kwenda kugonga leo leo, bahati nzuri kutongoza ni skill ambayo mtu yeyote anaweza jifunza na kuwa vizuri.

That's game kwa kifupi.
 
Pesa haijawahi kumaliza matatizo bali inapunguza tu. Mapenzi sio pesa unatakiwa kuwa mjanja kwenye vitu vingine usitegemee pesa kumaliza kila tatizo wanawake wanataka watu romantic,sharing, caring, passionate nk.. sasa vitu hivi havihitaji pesa ni ufundi tu unatakiwa hapa na ujanja ujanja kwenye hii tasnia. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Asanteeee
 
Wenye pesa wengi hawana ujanja kwenye hio tasnia. Wanatumia hongo kupata wanachotaka.

Utashangaa mwamba kapasuka mpaka laki 5 kumla demu wa kawaida sana tu wakati mjuba hata u Fei (50k) unaweza usiishe nikawa nishakula maisha.

Wengine wanaandaliwa mazingira wanawaka wenyewe tu.
Demu wa kawaida ndio yupi? 😂😂😂

Alaf sura za kawaida na demu wa kawaida ni kitu kimoja?
 
Pesa haijawahi kumaliza matatizo bali inapunguza tu. Mapenzi sio pesa unatakiwa kuwa mjanja kwenye vitu vingine usitegemee pesa kumaliza kila tatizo wanawake wanataka watu romantic,sharing, caring, passionate nk.. sasa vitu hivi havihitaji pesa ni ufundi tu unatakiwa hapa na ujanja ujanja kwenye hii tasnia. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nakuona CEO wa kitengo
 
Back
Top Bottom