Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Muda mwingine ukiwa vizuri sana wanawake wanajua unataka kuwachezea..
Toka nilivyoanza kupata vijisenti kidogo na mapenzi ya kweli yamekuwa mtihan, naishia kupata wadangaji!
 
Mara nyingi wenye pesa wako na ego sana, na aina ya wanawake wanaowataka ni wale wanawake wasioangalia pesa tu ili kuwa na mwanaume. Wanaangalia vitu vingine ambavyo mara nyingi wanaume wenye pesa hawana.

Heaven Sent hebu weka hapa ule uzi mama, wajifunze hawa watoto.
 
Mpaka anakuwa na vitu vyote hivyo bilashaka age imeenda, na anayemtaka yuko below 25yrs kama sio hivyo ni mali za baba na mama au urithi demu anaona hakuna future.
 
Ni kweli niko na jamaa amefariki juzi tu hapa parking kajaza magari nyumba ya dola milion 1 ila hana ata mke nikatoto tu alichepuka zamain basi
 
Back
Top Bottom